image

Kazi za tunda la papai katika kurekebisha homoni imbalance

Posti hii inahusu zaidi kazi za tunda la mpapai katika kurekebisha homoni.ni tunda ambalo ufanya kazi yake kwa sababu ya kuwepo kwa virutubisho muhimu ndani ya tunda hili.

Kazi za tunda la mpapai katika kurekebisha homoni imbalance.

1. Tunda la mpapai usaidia kurekebisha hedhi .

Ufanya hivyo kwa sababu ya kuwepo virutubisho vya carotene madini ya chuma, kalisiuma na vitamin A.

 

 

 

2. Virutubisho hivyo ufanya kazi mbalimbali kwenye via vya uzazi na kuleta ulaini Fulani ambao usababisha kuwepo kwa wepesi wakati wa hedhi na hivyo kupunguza maumivu wakati wa hedhi.

 

 

 

3. Wakati wa kutumia papai tumia kwa kiasi chake walau nusu papai kwa siku, pamoja na kusaidia kwenye homoni imbalance vile vile usaidia katika mfumo wa umengenyaji.

 

 

 





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1824


Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉3 Simulizi za Hadithi Audio     👉4 kitabu cha Simulizi     👉5 Kitau cha Fiqh     👉6 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-

Faida za juice ya tende.
Posti hii inahusu zaidi faida ya juice ya tende,ni juice inayotumiwa na watu wengi sana na wengine wanajua kabisa faida zake na kuna wengine hawajui wanaitumia kama mazoea tu, ila kuna ambao hawajui kabisa basi zifuatazo ni faida za juice ya tende kwa wal Soma Zaidi...

VYAKULA VYA FATI, PROTINO NA WANGA
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

Vijuwe vyakula vya madini na kazi za madini mwilini
Post hii inakwenda kukieleza kuhusu vyakula vya madini na kazi zake mwilini Soma Zaidi...

Kazi za protini mwilini ni zipi?
Virutubisho vya protini vina kazi nyingi mwilini. Zifuatazo ndio kazi protini mwilini Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kunywa chai
Soma Zaidi...

Hasara za kitunguu swaumu wakati wa ujauzito
Posti hii inahusu zaidi hasara za kitunguu swaumu wakati wa ujauzito. Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula viazi vitamu
Soma Zaidi...

Faida za kula Palachichi
Palachichi lina virutubisho vingi na vitamini, kula palachichi uiokoe afya yako Soma Zaidi...

Ukosefu wa madini ya Shaba mwilini
Posti hii inahusu zaidi Ukosefu wa madini ya Shaba mwilini, ni Ukosefu wa madini ya Shaba mwilini ambao usababisha madhara kama ifuatavyo. Soma Zaidi...

Fahamu tiba ya lishe ya ugonjwa wa kisukari
Post hii inahusu zaidi tiba ya lishe ya ugonjwa wa kisukari ni tiba ambayo utumiwa sana na wagonjwa wa kisukari na walio wengi na wamefanikiwa kupona Soma Zaidi...

Faida za kula parachichi
Somo Hili linakwenda kukuletea faida za kula parachichi Soma Zaidi...

Faida za apple kwa Mama mjamzito
Posti hii inahusu zaidi faida za apple kwa mama mjamzito, ni faida anazozipata mama akiwa mjamzito kwa sababu ya kuwepo kwa vitamini mbalimbali kwenye apple ambavyo usaidia katika makuzi ya mtoto.I Soma Zaidi...