image

Dalili za fangasi uken

Posti hii inahusu zaidi dalili za fangasi uken, hizi ni baadhi ya dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye tatizo la fangasi uken.

Dalili za fangasi ukeni

1. Kuwasha sehemu za Siri

Hii ni dalili mojawapo kwa mtu Mwenye tatizo la fangasi ukeni, utokea pale ambapo wadudu wanaosababisha fangusi usababisha michubuko sehemu za Siri na pale ikitokea majimaji kugusa sehemu za maambukizi mtu uhisi kuwasha sehemu za Siri.

 

2. Maumivu makali wakati wa kujamiiana.

Hali hii utokea pale ambapo maambukizi yakisha enea sehemu mbalimbali za via vya uzazi maumivu makali wakati wa kujamiiana usababishwa na msuguano wakati wa kujamiiana na hivyo maumivu utokea wakati wa kujamiiana.

 

3.Kuhisi hali ya kuwaka moto hasa wakati wa kumaliza kujamiiana, hii hali utokea pale baada ya kujamiiana hii ni kwa  sababu ya msuguano ambao utokea Kati ya sehemu ya maambukizi na uume kwa hiyo baada ya kujamiiana mtu usikia moto kuwaka kwenye sehemu za Siri.

 

4.Vidonda utokea ukeni.

Mtu mwenye matatizo ya fungasi ukeni huwa na matatizo ya vidonda ukeni, hali hii utokea kwa sababu ya wadudu walioshambulia sehemu za Siri   usababisha kinga ya mwili kupungua na hatimaye kuenea kwa vidonda sehemu za Siri.

 

5. Kuvimba sehemu za Siri na rangi nyekundu utokea katika mdoma wa sehemu za Siri.

Hali hii utokea kwa sababu ya maambukizi kwenye sehemu za Siri, ambapo wadudu ushambulia kwa kiwango kikubwa kwenye sehemu ya nje ya mdomo wa uke na kubadili rangi na kuwa nyekundu hali hii uambatana na kuvimba sehemu za ukeni kwa sababu ya maambukizi.

 

6. Kutokwa na uchafu kwenye sehemu za Siri.

Mtu mwenye matatizo ya fangasi ukeni daima utokwa na maji maji meupe ukeni hii ni kwa sababu ya maambukizi kwenye uke pale ambapo wadudu ushambulia sehemu mbalimbali na kusababisha majimaji mazito na meupe kutokea.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1978


Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Simulizi za Hadithi Audio     👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉4 Kitabu cha Afya     👉5 Madrasa kiganjani     👉6 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Je pumu inaweza kusababishwa na virusi ama bakteria?
Hapa utakwenda kujifunza jinsi ambavyo pumu inaweza kuwa na mahusiano kwa kuwepo kwa aina flani ya bakteria ama virusi. Soma Zaidi...

Dalili na ishara za shambulio la moyo
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Dalili na ishara za shambulio la moyo. Shambulio la moyo huzuia damu yenye oksijeni kufika kwenye moyo hivyo hupelekea tishu kufa. Na Ugonjwa huu mtu akicheleweshewa matibabu huweza kupata mshtuko wa moyo mpaka kifo. Soma Zaidi...

Dalili za fangasi wa sehemu za Siri kwa wanaume
Posti hii inakwenda kukuletea dalili za fangasi wa sehemu za Siri kwa wanaume Soma Zaidi...

NJIA ZA KUKABILIANA NA MINYOO: kuosha mikono, kuwa msafi, kuvaa viatu, maji safi, kuivisha nyama vyema
NJIA ZA KUKABILIANA NA MINYOO Kwa kuwa tumekwisha kuona namna ambavyo minyoo huenezwa, hivyo basi ni rahisi sasa kutaja namna ya kubambana na minyoo. Soma Zaidi...

Nini chanzo cha malaria
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu chanzo cha ugonjwa wa malaria Soma Zaidi...

Vitu vinavyochochea kuwepo kwa Ugonjwa wa ukimwi.
Posti hii inahusu zaidi vitu ambavyo vinasababisha kuongezeka kwa Ukimwi kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na baada ya watu kujua Ugonjwa huu na matokeo ila bado ugonjwa unazidi kuongezeka. Soma Zaidi...

AINA ZA MINYOO: tapeworm, livefluke, roundworm, hookworm, flatworm
AINA ZA MINYOO Minyoo ambao wanaweza kuishi ndani ya mwili wa binadamu wapo aina nying, lakini hapa nitakueleza aina kuu tatu za minyoo hawa. Soma Zaidi...

Namna magonjwa ya koo yanavyosambaa
Posti hii inahusu zaidi namna ya magonjwa ya koo yanavyosambaa, magonjwa haya usambaa kutoka sehemu Moja kwenda nyingine kwa njia tofauti kama ifuayavyo Soma Zaidi...

Je mtu anaweza kushiriki mapenzi na mtu mwenye maambukizi ya ukimwi pasipo kuambukizwa?
Naomba kuuliza swaliJe mtu anaweza kushiriki mapenzi na mtu mwenye maambukizi ya ukimwi pasipo kuambukizwa? Soma Zaidi...

Huduma kwa mtoto mwenye Maambukizi kwenye mifupa
Posti hii inahusu zaidi msaada kwa mtoto mwenye Maambukizi kwenye mifupa, ni huduma anayopewa mtoto mwenye Maambukizi kwenye mifupa. Soma Zaidi...

Ugonjwa wa dondakoo
Dondakoo ni ugonjwa mbaya unaosababishwa na sumu inayotengenezwa na bakteria. Husababisha mipako nene nyuma ya pua au koo ambayo inafanya kuwa ngumu kupumua au kumeza. Inaweza kuwa mauti. Soma Zaidi...

Ugonjwa wa upungufu wa maji mwilini.
Upungufu wa maji mwilini hutokea unapotumia au kupoteza Majimaji mengi zaidi ya unayonywa, na mwili wako hauna maji ya kutosha na Majimaji mengine ya kufanya kazi zake za kawaida. Usipochukua nafasi ya Vimiminika vilivyopotea, utapungukiwa na maji. Soma Zaidi...