Yaliyoharamishwa kwa mwenye kuwa katika ihram


image


Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)


  • Yaliyoharamishwa kwa mwenye kuwa katika Ihram.
  • Kufanya jimai (tendo la ndoa), kubusu, kukumbatiana au kufanya ushawishi wowote wa kimapenzi kati ya mume na mke.

 

  • Kusema au kutenda mambo machafu na maovu.

Rejea Qur’an (2:197). 

 

  • Kunyoa nywele, kukata kucha, au kupunguza sehemu yeyote ya mwili isipokuwa kwa udhuru, kama matibabu, n.k.

 

  • Kuoa, kuolewa, kutoa posa au kufanya mipango ya ndoa.
  • Kujipaka manukato au kuvaa nguo zenye kuvutia.
  • Kuvaa nguo iliyoshonwa na kufunika kichwa kwa wanaume.
  • Kufunika uso na viganja vya mikono kwa wanawake kwa kuvaa gloves.
  • Kuvaa viatu vya kufunika miguu na kuvaa soksi.
  • Kuwinda au kusaidia kuwinda hata kwa kuonyesha mnyama anayewindwa.
  • Kula nyama iliyowindwa au iliyopatikana kwa msaada wa mtu aliyekuwa katika Ihram.
  • Kula mayai ya ndege waliopatikana kwa kuwindwa



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Download App zetu hapa ujifunze zaidi       ðŸ‘‰    2 Jifunze Fiqh       ðŸ‘‰    3 Madrasa kiganjani offline       ðŸ‘‰    4 Tunakukaribisha kwenye Maktaba yetu    


Je una maswali, maoni ama ushauri, tutumie sms ✉ bofya hapa hapa, ama wasiliana nasi kwa WhatsApp bofya hapa



Post Nyingine


image Mgawanyo wa Elimu Usiokubalika katika uislamu.
Kipengele hichi kinahusu mgawanyiko wa elimu usiokubalika katika uislamu.sababu za mgawanyiko wa elimu udio sahihi katika uislamu. Soma Zaidi...

image Maana ya sadaqat
Nguzo za imani, maana ya sadaqat (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Maswali kuhusu hali ya bara arabu zama za jahiliyyah
Bara arabu zama za jahiliyyah (EDK form 2 dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Kina Cha uovu wa shirk
Nguzo za imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Kuwapa wanaostahiki
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Lengo la ibada maalumu
Lengo la ibada maalumu (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Waislamu wanaolazimika kufunga
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Malezi ya mtume
Bara arabu zama za jahiliyyah (EDK form 2 dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Kutoa vilivyo vizuri
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Umuhimu wa funga ya ramadhan
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...