Zoezi 2:2

Zoezi 2:2

Jiunge nasi WhatsApp
Upate Update zetu

Zoezi 2:2

Zoezi 2:2




1.Malaika ni




2.Toa tofauti nne (4) zilizopo kati ya Malaika na binaadamu.




3.Orodhesha kazi kumi (10) za malaika zenye mahusiano na bin a adam u.




4.Muumini wa kweli wa Malaika ni yule anayefanya yafuatayo:-(a) (b) (c) (d)




5.Taja vitabu vinne (4) vya Allah (s.w) vilivyohadithiwa katika Qur-an na Mitume walioshushiwa.




6.Len go la kushushwa vitabu vya Allah (s.w) ni




7.“Hakika ni juu yetu kutoa mwongozo.” (92:12) Pamoja na binaadamu kupewa akili na elimu hana uwezo wa kujiundia njia sahihi ya maisha kwa sababu zifuatazo:
(a)
(a)
(b)



8.Toa tofauti nne (4) zilizopo kati ya Qur-an na vitabu vingine vya Allah (s.w).




9.Muumini wa kweli wa Qur-an ni yule anayefanya yafuatayo:
(a)
(b)



10.(a) Mitume wa Allah (s.w) ni
(b) Mitume wameletwa ili
(c)Waumini wa kweli wa Mitume wa Allah (s.w) ni wale wenye tabia zifuatayo:
(i)
(ii)
(iii)
(iv)




                   


Download Post hii hapa

Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.

Download Now Bongoclass Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Jifunze Main: Dini File: Download PDF Views 721

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉2 Kitabu cha Afya    👉3 Madrasa kiganjani    👉4 Bongolite - Game zone - Play free game    👉5 Kitau cha Fiqh    👉6 kitabu cha Simulizi   

Post zinazofanana: