Maswali juu ya hadithi
Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya)
Zoezi la 6.
- (a) Nini maana ya Hadith kilugha na kisheria.
(b) Eleza kwa muhtasari maana ya maneno yafuatayo:
(i) Matin (ii) Isnad (iii) Riwaya (iv) Hadith Qudussiyu. (v) Hadith Ahad.
- (a) Wakati wa Mtume (s.a.w), hapakuwepo na uandishi wa Hadith. Toa sababu tano.
(b) Ni sababu zipi zilizopelekea uandishi wa Hadith kuwa na hitajio kubwa katika kipindi cha Maswahaba?
- (a) Taja vitabu viwili vilivyoandikwa pamoja na waandishi wake katika kipindi cha Maswahaba.
(b) (i) Orodhesha maimamu wanne mashuhuri waliojitokeza kwa uandishi wa Hadith katika kipindi cha Tabi’ina.
(ii) Taja majina ya Vitabu viwili na maimam walivyoviandika katika kipindi cha Tabi’ina.
- Bainisha kwa muhtasari maimam sita waliojitokeza katika kipindi cha Tabi’i Tabi’ina.
- Eleza kwa ufupi yafuatayo;
(a) Al-Qatadaya (b) Al-Muwattah (c) Hadith Nnabawwi (d) Hadith Mutawattir.
- (a) Maimam sita walioandika “Sahihu Sitta”, vitabu vyao vinamadaraja tofauti ya usahihi wa Hadith. Changanua madaraja hao kutokana na usahihi wa Hadith.
(b) Ni yapi masharti yaliyotumika katika kuhakiki usahihi wa Hadith?
(c) Bainisha aina kuu za Hadith.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 Kitau cha Fiqh 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 Bongolite - Game zone - Play free game 👉6 web hosting
Post zinazofanana:
Matukio ya kihistoria katika masiku 10 ya Dhul Hija -Mfunguo tatu
Haya ni matukio ya kihistoria yanayoamiika kutokea ndani ya masiku 10 ya Mfunguo tatu.
Soma Zaidi...Kitabu Cha Darsa za Sira
Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.
Soma Zaidi...