Zoezi 2:1 1.
Zoezi 2:1 1.
Allah (s.w) hatumuoni kwa macho lakini tunamuona kwa akili zetu kwa
2. “Katika kuumbwa mbingu na ardhi na mfuatano wa usiku na mchana, ziko alama (hoja) za kuonyesha kuwepo Allah (a.w) kwa wenye akili.” (3:190).
Ainisha alama kumi (10) zilizo katika maumbile ya mbinguni na ardhini zinazothibitisha kuwepo Allah (s.w).
3.“... Na katika nafsi zenu (pia zimo ishara hizo), Je, hamuoni?” (51:20-22) Orodhesha dalili kumi (10) katika nafsi ya mwanaadamu zinazothibitisha kuwepo Allah (s.w)
. 4.Kwa kurejea kisa cha watu wa tembo (As-habul-fyl) kilichosimuliwa katika Suratul-fyl (1 05:1 -5) thibitisha kuwepo kwa Allah (s.w).
5.Taja mambo saba (7) katika maisha ya Mitume yanayothibitisha kuwepo kwa Allah (s.w).
6.Taja dalili tatu (3) katika mafundisho ya Mitume zinazothibitisha kuwepo Allah (s.w).
7.Katika Qur-an na Hadithi sahihi tumefahamishwa sifa (majina) mbali mbali za Allah (s.w) ili 8.Eleza kwa muhutasari ni vipi Allah (s.w) hushirikishwa katika: (a) Dhati yake.
(b) Sifa zake.
(c) Hukumu zake.
(d) Mamlaka yake.
9.Kina cha uovu wa shirk kinabainishwa katika Qur-an kuwa: (a) (b) (c) 10.Allah (s.w) ameikemea vikali shirk kwa sababu ..................................... * *** *** *** *** * *
Umeionaje Makala hii.. ?
Dini anayostahiki kufuata mwanadamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Mnafiki ni yule anayeukubali Uislamu mdomoni (kwa kauli tu) lakini moyoni mwake na katika matendo yake anaukanusha.
Soma Zaidi...Mtume Muhammad s.a.w amezaliwa yatima asiyena baba. Lakini hii haikumfanya asipate maelezo bora yaliyo mazuri. Je unajuwa aliyemlea baada ya kufariki kwa mama yake?.
Soma Zaidi...Hutekeleza ahadi zao wanapoahidiana na wanaadamu wenziwao maadamu ni katika mipaka ya Allah (s.
Soma Zaidi...