Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
- Kuna aina kuu mbili za Hadith.
- Ni Hadith ambayo matin yake ni kauli ya Mtume (s.a.w) mwenyewe katika
kuelezea jambo.
- Huanza kwa kauli; amesema Mtume wa Allah, “…………”
- Ni Hadith ambayo matin yake (msimulizi wake) ni kauli ya Mtume (s.a.w)
kama alivyoipokea kutoka kwa Allah (s.w) nje ya Qur’an.
- Huanza kwa kauli; mfano: Abu Hurairah (r.a) amesimulia kuwa Mtume wa
Allah amesema, Allah (s.w) amesema, “…...” Matin yake ni kauli ya Allah
katika “………”.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Waumini wa kweli waliofuzu huhifadhi swala kwa kutekeleza kwa ukamilifu shuruti zote za swala nguzo zote za swala na huswali kama alivyoswali Mtume (s.
Soma Zaidi...QURANI KATIKA ZAMA ZA SAYANSI NA TEKNOLOJIAAsalaalaamu alykum warahmatullah wabarakaatuh.
Soma Zaidi...