Mitume wa uongo

Mitume wa uongo

Wafuatao ni baadhi ya wale waliodai utume wakati Mtume (s.

Jiunge nasi WhatsApp
Upate Update zetu

Mitume wa uongo

Mitume wa Uongo


Wafuatao ni baadhi ya wale waliodai utume wakati Mtume (s.a.w) akiwepo na baada yake.


Aswad Aus:
Alijitangazia Utume wakati wa Mtume (s.a.w) na aliuawa kwa amri ya Mtume mwenyewe.


Musailama (Al-kadhaab)Alijitangazia Utume wakati wa Abubakari (Khalifa wa kwanza wa Mtume (s.a.w). Waislamu walimpiga vita na kumuua.

Bah au โ€™lla Alijitokeza huko Iran katika karne ya 19 na aliuawa na Waisalmu.

Mirza Gulam Ahmed
Alizaliwa huko India katika kitongoji cha Kadiani katika karne ya 19. Japo alilindwa na serikali ya Kikoloni ya Kiingereza, alipigwa vita na Waislamu kwa maneno na kalamu mpaka uwongo wake ukawa dhahiri kwa waislamu pamoja na kutumia kwake Qur-an hii wanayoifuata Waislamu.


Pia kwa kukosekana mtu aliyekuja na kitabu cha mwongozo kinachofanana na Qurโ€™an angalau kwa mbali, inazidi kutudhibitishia kuwa Mtume Muhammad (s.a.w) ni Mtume wa mwisho na Qurโ€™an ni ujumbe wa mwisho wa Allah (s.w) utakaobakia mpaka mwisho wa ulimwengu.
Maana ya Kuamini Mitume wa Allah (s.w) katika maisha ya kila s iku.



                   


Download Post hii hapa

Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.

Download Now Bongoclass Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Tawhid Main: Dini File: Download PDF Views 2355

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
๐Ÿ‘‰1 Bongolite - Game zone - Play free game    ๐Ÿ‘‰2 kitabu cha Simulizi    ๐Ÿ‘‰3 Madrasa kiganjani    ๐Ÿ‘‰4 Kitau cha Fiqh    ๐Ÿ‘‰5 Kitabu cha Afya    ๐Ÿ‘‰6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)   

Post zinazofanana:

Njia anazotumia Mwenyezi Mungu (s.w) kuwafundisha na kuwasiliana na wanaadamu
Njia anazotumia Mwenyezi Mungu (s.w) kuwafundisha na kuwasiliana na wanaadamu

Ni zipo njia wanazotumia Allah katika kuwasiliana na kuwafundisha wanadamu? (EDK form 1: Dhana ya elimu katika Uislamu).

Soma Zaidi...
Sifa za Wanafiki zilizotajwa katika Surat ahzab
Sifa za Wanafiki zilizotajwa katika Surat ahzab

Na waliposema wanafiki na wale wenye maradhi nyoyoni mwao, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake hawakutuahidi ila udanganyifu tu.

Soma Zaidi...
KUMUAMINI MWENYEZI MUNGU
KUMUAMINI MWENYEZI MUNGU

Jifunze tawhid yaani kumpwekesha Allah subhaanah wata'aala

Soma Zaidi...
Mambo ya lazima kufanyiwa maiti ya muislamu
Mambo ya lazima kufanyiwa maiti ya muislamu

Mambo ya faradhi kuhusu maiti ya muislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

Soma Zaidi...
Maana ya muislamu.
Maana ya muislamu.

Kwenye kipengele hichi tutajifunza ni nani muislamu.

Soma Zaidi...
Mtazamo wa uislamh juu ya ibada
Mtazamo wa uislamh juu ya ibada

Katika kipengele hich tutajifunza dhana ya ibada katika uislamu,maana ua ibada

Soma Zaidi...
Maana ya uislamu.
Maana ya uislamu.

Kwenye kipengele hichi titajifunza maana ya uislamu,na maana nyingine tofauti.

Soma Zaidi...
Mgawanyo wa elimu usiokubalika katika uislamu
Mgawanyo wa elimu usiokubalika katika uislamu

Mgawanyo wa elimu usiokubalika katika uislamu Ni upi? (EDK form 1: mgawanyo wa elimu usiokubalika katika uislamu)

Soma Zaidi...