Katika kipengele hich tutajifunza dhana ya ibada katika uislamu,maana ua ibada
5 .MTAZAMO WA UISLAMU JUU YA IBADA.
5.1.Dhana ya Ibada katika Uislamu.
- ‘Ibada’ linatokana na neno la Kiarabu ‘abd’ lenye maana ya mtumwa au mja.
- Hivyo, ‘Ibada’ maana yake ni kumtumikia Mwenyezi Mungu (s.w) kikamilifu kwa kufuata maamrisho na kuacha makatazo yake yote.
- Pia ‘ibada’ lina maana ya kila jambo (kitendo) analoliridhia Mwenyezi Mungu (s.w).
Rejea Qur’an (51:56).
- Ibada maalumu kama vile; swala, funga, zaka, hija, n.k. ndio nyenzo kuu za humuandaa na humuwezesha muumini kumuabudu na kumtumikia Allah (s.w) kwa kila kipengele cha maisha ya binafsi, kifamilia na kijamii.
- Kila jambo jema ni ibada inayomkurubisha mja kwa Allah (s.w) kama litafanywa kwa misingi ya Qur’an na Sunnah za Mtume (s.a.w).
Jaabir na Hudhaifa (r.a) wameeleza kuwa Mtume wa Allah amesema:
“Kila kitendo kizuri ni sadaqat” (Bukhari na Muslim).
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Nguzo za imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Elimu inaweza kugawanyika katika makundibmrngine mawili ambayo ni elimu yenye manufaa na elimubisiyi na manufaa
Soma Zaidi...Mwenyezi Mungu amekuwia radhi (amekusamehe).
Soma Zaidi...Ni upi mgawanyo sahihi wa elimu katika uislamu? Nini naana ya elimu ya muongizo. Je elimu ya mazingiravmaana yakeni nini. Ni upi utofauti wa elimu ya muongozo na elimu ya mazingira?
Soma Zaidi...