AFYA YA UZAZI Afya ya uzazi huweza kufungamana na mambo mengi sana.
AFYA YA UZAZI
Afya ya uzazi huweza kufungamana na mambo mengi sana. Maradhi na mtindo wa maisha wa mtu huweza kuchukuwa nafasi kubwa katika kuzungumzia afya ya uzazi. Wazazi wengi wamekuwa wakilalamika kkuhusu swala na kushika mimba, maradhi ya kizazi pamoja na wanaume kulalamika kutokuwa na nguvu za kutosheleza haja zao. Afya ya uzazi imekuwa ikichukuwa kundi kubwa la watu pindi inapozungumziwa. Kizazi kilicho salama kinategemea ubora wa afya hii pamoja na malezi yaliyo bora kutoka kwa wazazi.
Katika makala hizi tutakwenda kuona mengi katika hayo yanayohusiana na afya ya uzazi kwa wanaume, wanawake pamoja na watoto ambao ndio kwa kiasi kikubwa afya zao. Makala hii imeandikwa kwa kuangalia tafiti za kiafya zilizofanya katika maeneo mbalimbali duniani.
Tunaheshibu na kuthamini afya ya mtu. Katu hatuthubuthu kuandika kitua bila ya marejeo, hivyo basi ukigundua chochote ambacho hakiposawa kwenye makala hii basi wasiliana nami kwa haraka zaidi
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi utumiaji wa pombe na sigara pamoja na madawa katika jamii.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu timu ya upasuaji hii ni timu ambayo inahusika katika chumba cha upasuaji, kwa sababu ya kutunza usafi na usalama chumba hiki kinapaswa juwa na timu ya watu wanne na walio na elimu kuhusu kazi hiyo.
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...