WAJUE FANGASI, AINA ZAKE, DALILI ZAKE NA MATIBABU YAKE
Fangasi huweza kuishi na kuathiri maeneo mbalimbali ndani ya mwili.
WAJUE FANGASI NA AINA ZAO
Fangasi huweza kuishi na kuathiri maeneo mbalimbali ndani ya mwili. Fangasi ni hatari sana, kwani wanaweza kusababisha madhara makubwa ya kiafya na kiakili kama wasipitibiwa mapema. Kuna aina nyingi za fangasi ambao wanaweza kuathiri mwili wa binadamu.
Wapo fangasi ambao wanaonekana kwa macho na wengine hawawezi kuonekana. Kuna mamilioni ya aina hizi za fangasi, katika hawa kuna kuna mamia ya aina za fangasi ambazo huweza kumfanya mtu kuumwa. Miongoni mwa maradhi yanayoweza kusababishwa na fangasi ni pamoja nna:
- Aleji
- Mapele na maruturutu kwenye ngozi na vidole
- Maambukizi ya mapafu kama pneumonia ambayo hufanana na mafua au kifua kikuu
- Maambukizi kwenye mfumo wa damu
- Kupata ugonjwa wa meningitis huu ni ugonjwa unaoathiri ubongo pamoja na ugwe mgongo.
MAENEO AMBAYO FANGASI WANAISHI
Fangasi huweza kuishi kwenye maeneo mengi kama
- Kwenye udongo
- Hewa
- Kwenye mimea
- Kwenye ngozi za watu
- Na ndani ya miili ya watu
AINA ZA FANGASI
Fangasi wamegawanyika katika makundi mengi. Na wamekuwa wakisababisha maradhi mblimbali na katika sehemu mbalimbali za miili yetu. Hapa nitakutajia aina za fangasi hawa kama ifuatavyo:-
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 ai web app 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 Madrasa kiganjani 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
Dalili za mimba ya wiki mbili unazopaswa kujua
​Post hii inaangazia kile kinachotokea mwilini mwako katika wiki ya pili ya ujauzito. Ingawa wiki ya pili mara nyingi huchukuliwa kama kipindi ambacho mwili unajiandaa kuachilia yai, tutaangazia ishara za mwanzo kabisa za utungaji wa mimba, jinsi ya kuzitambua, na hatua za kuchukua ili kuhakikisha afya njema.
Soma Zaidi...Matatizo ya tezi ya shingo (Thyroid disorders): Dalili zake.
Tezi ya shingo (Thyroid gland) ni kiungo kidogo chenye umbo la kipepeo kilichopo sehemu ya mbele ya shingo. Ingawa ni ndogo, ina kazi kubwa sana ya kuzalisha homoni zinazodhibiti kila kitu kuanzia kasi ya mapigo ya moyo, joto la mwili, hadi namna tunavyochoma kalori. Matatizo ya tezi hutokea pale tezi hii inapozalisha homoni nyingi sana (Hyperthyroidism) au kidogo sana (Hypothyroidism). Makala haya yanachambua dalili za hali hizi mbili ili kukusaidia kuelewa ishara za mwili wako.
Soma Zaidi...Matibabu ya vidonda vya tumbo nyumbani
Post hii inahusu zaidi matibabu ya vidonda vya tumbo nyumbani, ni njia ya kawaida ya kujitibu vidonda vya tumbo kama tulivyoona.
Soma Zaidi...Chanjo Muhimu kwa Watoto Wachanga
​Chanjo ni kinga madhubuti dhidi ya magonjwa hatari ya utotoni. Post hii inatoa mwongozo kwa wazazi kuhusu umuhimu wa chanjo kwa watoto wachanga, ratiba zake, na jinsi zinavyosaidia kujenga kinga imara ya mwili.
Soma Zaidi...Maumivu ya koo na uhusiano wake na tonsils.
​Maumivu ya koo ni malalamiko ya kawaida ambayo mara nyingi husababishwa na maambukizi ya virusi au bakteria. Hata hivyo, mara nyingi maumivu haya yanahusishwa moja kwa moja na uvimbe wa tonsils—viungo viwili vidogo vilivyopo nyuma ya koo vyenye jukumu la kusaidia kinga ya mwili dhidi ya vimelea. Makala haya yanafafanua uhusiano kati ya maumivu ya koo na tonsillitis (kuvimba kwa tonsils) na jinsi ya kutofautisha kati ya maambukizi ya kawaida na yale yanayohitaji msaada wa daktari.
Soma Zaidi...