NENO LA AWALI
Hapa utaweza kujifunza mambo mengi kuhusu vidonda vyatumbo. Kulingana na tafiti za kiafya zilizofanyika katika maeneo mbali mbli. Nimeona leo niandike kwa uchache kuhusu ugonjwa huu. Kwani watu wengi sana wanasumbuliwa na tatizo hili.
Ugonjwa wa vidonda vya tumbo umekuwa ukikabiliana na maneno mengi yaliyo potofu. Pia watu wamekuwa wakitumia dawa ambazo ni hatari kwa wenye tatizo hili. Utumiaji wa miti shamba husaidia katika kutibu ugonjwa huu lakini kuwa makini sana juu ya dawa hizi.
Katika makala hii tutakuletea baadhi ya nukuu kutoka kwa wataalamu wa afya juu ya maradhi haya ya vidonda vya tumbo, ikiwemo sababu, dalili pamoja na matibabu.
YALIYOMO
Kama utadownload kitabu chetu utaweza kusoma kwa undani mambo yafuatayo
VIDONDA VYA TUMBO
NINI VIDONDA VYA TUMB?
AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO
SABABU ZA KUTOKEA KWA VIDONDA VYA TUMBO
DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
VIPI VIDONDA VYA TUMBO VINATOKEA
AMBO HATARI KWA MWENYE VIDONDA VYA TUMBO
ATHARI ZA KUTOTIBIWA VIDONDA VYA TUMBO
HATUA ZA KUJIKINGA NA VIDONDA VYA TUMBO
NAMNA YA KUGUNDUA VIDONDA VYA TUMBO
MATIBABU YA VIDONDA VYA TUMBO
VIDONDA VYA TUMBO SUGU
SABABU ZA VIDONDA VYA TUMBO SUGU
MATIBABU YA VIDONDA SUGU
NAMNA YA KUISHI NA VIDONDA VYA TUMBO
DAWA MBADALA ZA VIDONDA VYA TUMBO
FIKRA POTOFY KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO
KUJIANDAA KWA AJILI YA KUMUONA DAKTARI
MWISHO