Dalili za maambukizi kwenye uume
Post hii inahusu zaidi dalili za maambukizi kwenye uume, ni dalili ambazo ujitokeza pale maambukizi yanapotokea kwenye uume.
Dalili za maambukizi kwenye uume
1. Kuvimba kwa ngozi na kuwa nyekundu, Dalili hizi ujitokeza kwa sababu ya maambukizi.
2 kutokwa na majimaji kwenye uume, hii utokea kwa sababu ya maambukizi kwenye uume ambao uharibu sehemu mbalimbali na kuanzia kutoa maji
3. Ngozi kuwa nyembamba na kivutika, kwa sababu ya maambukizi kwenye uume ngozi uvutika na kuanzia kuuma
4. Maumivu kwenye via vya uzazi
Kuwepo kwa maumivu makali kwenye via vya uzazi vya mwanaume hii ni kwa sababu ya maambukizi.
5. Harufu mbaya utokea kwenye sehemu za uume
Kwa sababu ya maambukizi, harufu mbaya ujitokeza kwenye uume na mazingira yake
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Simulizi za Hadithi Audio 👉2 Kitau cha Fiqh 👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉4 ai web app 👉5 web hosting 👉6 Kitabu cha Afya
Post zinazofanana:
Dalili za maambukizi kwenye milija(fallopian tube)
Post hii inahusu zaidi maambukizi kwenye milija (follapian tube) kwa kitaalamu huitwa salpingitis, ni maambukizi kwenye milija ambayo husababishwa na bakteria.
Soma Zaidi...Sababu za Maambukizi kwenye mifupa.
Post hii inahusu zaidi Maambukizi kwenye mifupa ambayo kwa kitaalamu huitwa Osteomyelitis, ni Maambukizi ambayo hutokea kwenye mifupa kwa sababu mbalimbali ambazo usababisha ugonjwa huu.
Soma Zaidi...Jinsi ya Kumsaidia Mtoto Mwenye Kikohozi
Kikohozi ni njia ya asili ya mwili kujisafisha, lakini kwa mtoto, inaweza kuwa chanzo cha usumbufu mkubwa na wasiwasi kwa wazazi. Post hii inatoa mbinu salama na za nyumbani za kumsaidia mtoto kupata nafuu, huku ikielekeza dalili za hatari zinazohitaji msaada wa kitabibu haraka.
Soma Zaidi...Ugonjwa wa upungufu wa maji mwilini.
Upungufu wa maji mwilini hutokea unapotumia au kupoteza Majimaji mengi zaidi ya unayonywa, na mwili wako hauna maji ya kutosha na Majimaji mengine ya kufanya kazi zake za kawaida. Usipochukua nafasi ya Vimiminika vilivyopotea, utapungukiwa na maji.
Soma Zaidi...Dalili za ugonjwa wa schizophrenia
Schizophrenia ni ugonjwa wa akili ambao huathiri jinsi mtu anavyofikiri, kuhisi, na kuamua. Dalili za schizophrenia zinaweza kuwa kama ifuatavyo hapo chini
Soma Zaidi...Namna ya kuzuia ugonjwa wa Homa ya inni.
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia ugonjwa wa Homa ya inni, ni njia ambazo utumiwa Ili kuepuka kusambaa kwa ugonjwa wa Homa ya inni kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine,
Soma Zaidi...