Post hii inahusu zaidi dawa za kupunguza maumivu na kazi zake, ni dawa ambazo upunguza maumivu kwenye mwili wa binadamu.
Dawa za kupunguza maumivu na kazi zake
1.Ni dawa ambazo upunguza maumivu makali au ya kawaida kwenye mwili wa binadamu.
2. Na pia utumika kushusha joto la mwili kama liko juu madawa haya ni kama asprini , Panadol na mengine mengi
3. Ukija kutumia madawa haya ni lazima kupata maelekezo kwa wataalamu wa afya au watu wowote ambao Wana ujuzi kuhusu madawa
4. Madawa haya hayapaswi kutumiwa na watu wenye madonda ya tumbo kwa sababu ukwangua ukuta wa tumbo na kuleta madhara makubwa zaidi.
5. Tunapaswa kutumia madawa haya kwa tahadhari maumivu kama ni ya kawaida tuyavumilie kwa sababu madawa haya si vizuri kuyatumia mara kwa mara
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Ukistaajabu ya Musa utastaajabu ya Firauni. Haya ni maneno ya wahenga. Sasa hebu njoo u staajabu ya damu
Soma Zaidi...Hapa tutaangalia baadhi ya sababu zinazopelekea mdomo kujaa mate na namna ya kutibu tatizo la kujaa kwa mate mdomoni
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kushiriki ngono na mtu aliye na VVU na UKIMWI
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vipimo mbalimbali vinavyotumika kupima VVU
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya gonorrhea endapo haitotibiwa
Soma Zaidi...Post hii inazungumzia zaidi kuhusiana na ugonjwa wa kipindupindu.kipindupindu ni ugonjwa unaosababishwa na mdudu ambaye kwa kitaalamu anaitwa vibrio cholera.mdudu huyu hushambulia utumbo mdogo na kusababisha madhara mengi.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi magonjwa ya moyo, kwa kawaida watu wakisikia habari za magonjwa ya moyo huwa hawaelewi yanakuwaje kuwaje, Leo nataka niwafahamishe kuhusu magonjwa ya moyo na sehemu mbalimbali zinazoathirika.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea baadhi ya maradhi yatokanayo na fangasi
Soma Zaidi...postii hii inshusiana na dalili na matatizo ya pepopunda. Pepopunda ni ugonjwa hatari wa kutishia maisha unaosababishwa na sumu ya tetanospasmin inayozalishwa katika majeraha yaliyoambukizwa na kizuizi cha bacillus clostridia. Bakteria ya pepopunda hu
Soma Zaidi...