Posti hii inahusu zaidi kuwepo kwa maziwa kwa akina Mama wakati wa ujauzito ni kawaida kwa sababu ya kuzaliwa kwa homoni ambayo usaidia kutoa maziwa.
1. Hali hii uwakuta wanawake ila sio wote wengine maziwa utoka kidogo lakini wengine maziwa utoka mengi kwa hiyo maziwa yakitoka msijali ni kawaida tu kwa hiyo wakati wa ujauzito maziwa yakitoka fanya yafuatayo.
2. Usijikamue au kushika shika maziwa au matiti au chuchu kwa kufanya hivyo unakuwa unayashawishi yaendelea kutoka zaidi, kwa hiyo ni vizuri kabisa kuwa makini na kujitahidi kutoshika matiti, kukamua Chuchu.
3. Kwa kawaida ukipatwa na shida hiyo haipaswi kabisa kuvaa brezia zinazobaba au pia kuvaa nguo zinazokubana kwa sababu unaweza kuleta kishawishi cha kuendelea kuwepo kwa maziwa na wakati mwingine ukiwa umevaa maziwa yanaweza kupita kwenye nguo inayobana.
4. Ukiwa na mme au mpenzi yeyote yule mwambie kwamba asishike kwenye sehemu ya matiti ili kuepuka hali ya kusisimua na kusababisha maziwa kuendelea kutoka.
5. Pia kumbuka kutafuta brezia za wanaonyonyesha.
Kwa kawaida kuna brezia za akina mama wanaonyonyesha kwa sababu ni kubwa na zinaweza zisionyeshe hali au mwonekano wa matiti.
6. Kwa hiyo baada ya kufahamu kwamba kitendo cha kutokwa na maziwa wakati wa ujauzito ni kwamba ni kitendo cha kawaida kwa hiyo ni vizuri kabisa kuelimisha jamii kwa sababu wengine wanashika sana mila na desturi na kukuta vitu vya ajabu vinafanyika kwa hiyo wawaache akina mama wakae na maziwa yao kwani ni kawaida tu kutokwa na maziwa wakati wa ujauzito.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Ni ngumu ila nitakujuza namna ya kuitambuwa mimba ya siku moja hadi 3, mimba ya wiki moja na mimba ya miezi mitatu kwa dalili.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu namna unavyoweza kumtambua mtoto mwenye Ugonjwa wa Nimonia na tiba anayopaswa kupata mtoto mwenye Nimonia
Soma Zaidi...Kamaumeshawahi kujiuliza kuhusu kutokwaba damu tofautivna siku za hedhi, base mwaka hii ni kwaajiki yako.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Dalili za Mama mwenye kifafa cha mimba, ili kifafa cha mimba kiweze kutokea lazima kuna dalili ambazo uweza kutokea kwa Mama kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Je ni kweli kupima kimoja cha mloka kinaweza kupima mimba zaidi ya mara moka?
Soma Zaidi...Tafiti zinaonesha kuwa karibia asilimia 10% mpaka 25% ya wanawake wanaopata ujauzito, mimba zao hutoka.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Utasa wa Mwanaume hutokana na uzalishaji mdogo wa mbegu za kiume, utendakazi usio wa kawaida wa manii au kuziba kwa manii ambayo huzuia utoaji wa mbegu za kiume. Magonjwa, majeraha, matatizo ya kiafya sugu, u
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu damu, uteute na maji yanayotoka ukeni kipindi cha ujauzito
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi aina mbalimbali za mimba kutoka, hizi ni jinsi mimba inavyoonyesha dalili za kutoka na nyingine zinaweza kuonyesha dalili Ila kwa sababu ya huduma mbalimbali za kwanza hizo mimba zinaweza kudhibiiwa na mtoto akazaliwa.
Soma Zaidi...