Uandishi wa hadithi wakati wa maswahaba wa mtume (s.a.w)

Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

Uandishi wa Hadith wakati wa Maswahaba wa Mtume (s.a.w) (11 A.H – 101 A.H).

 

  1. Kitabu cha Hadith cha ‘Al-Qatadaya’ cha Ali (r.a).
  2. Juzuu (Pamphlet) ya Hadith iliyoandikwa na Ibn Abbas (r.a).



 

  1.    Dola ya Kiislamu ilipanuka sana na ikawa kuna hitajio kubwa la kuiendesha kwa mujibu wa mafundisho ya Qur’an na ya Hadith pia.

 

  1.    Makhalifah wanne waongofu, waliongoza Dola ya Kiislamu kwa mujibu wa Qur’an na Sunnah kwa kutoa hukumu mbali mbali.  

 

  1.    Kuzuka ugomvi baina ya Ali (r.a) na Muawiya (r.a) na waislamu kugawanyika makundi matatu na Hadith kutumika vibaya kulingana na matashi ya kila kundi.

 

  1.    Kuporomoka kwa Dola ya Kiislamu na kuibuka tawala za Kifalme, hivyo zilizuka hadith za uongo.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Jifunze Main: Dini File: Download PDF Views 3153

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh    👉2 Madrasa kiganjani    👉3 kitabu cha Simulizi    👉4 Kitabu cha Afya    👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉6 Bongolite - Game zone - Play free game   

Post zinazofanana: