Uadilifu ni usimamizi wa ukweli na kutoa haki kwa kila anayestahiki kulingana na ukweli.
Uadilifu ni usimamizi wa ukweli na kutoa haki kwa kila anayestahiki kulingana na ukweli. Allah (s.w) ametuamrisha kuwa waadilifu kama ifuatavyo:
Enyi mlioamini! Kuw eni wenye kusimamia uadilifu, mtoao ushahidi kwa ajili ya Allah ijapokuwa ni juu ya nafsi zenu au wazazi au jamaa, akiwa tajiri au maskini, Mwenyezi Mungu anawastahiki zaidi. Basi msifuate matamanio mkaacha kufanya uadilifu. (4:135).
Enyi mlioamini! Kuweni wasimamizi kwa ajili ya Allah, muwe mkitoa ushahida kwa uadilifu. Wala kuchukiana na watu kusikupelekeeni kutowafanyia uadilifu. Fanyeni uadilifu, kufanya hivyo huwafanya kuwa wacha mungu. Na Mcheni Allah. Hakika Allah anajua mnayoyatenda (5:8)
Umeionaje Makala hii.. ?
Download kitabu Hiki Bofya hapa HADITHI YA MZEE WA KWANZA NA MBUZI WAKE.
Soma Zaidi...عَنْ أَبِي حَمْزَةَ أَنَسِ بْنِ مَالِكٍ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ خَادِمِ رَسُولِ اللَّهِ صلى الله عليه و سلم عَنْ النَّبِيِّ صلى الله عليه ?...
Soma Zaidi...