Malaria ni katika maradhi ambayo husambazwa na na mbu jike aina ya anopheles.
Malaria ni katika maradhi ambayo husambazwa na na mbu jike aina ya anopheles. Kutokana na shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia afya (WHO) limetoa takwimu kuwa karibia watu milioni 300 mpaka 500, huathirika na ugonjwa wa malaria kila mwaka duniani. Na baadhi ya tafiti zinaonyesha kuwa yapata watu 470,000 wanafariki kwa ugonjwa wa malaria kila mwaka.
Ugonjwa wa malaria ulishakuwepo duniani toka zamani sana. Tafiti zinathibitisha kuwa malaria ilishakuwepo yapata miaka 2700 K.K yaani miaka 2700 kabla ya kuzaliwa kwa yesu. Na ndio maana kuna dawa nyingi za kienyeji ambazo zinatibu malaria, kwani wazee walishaugua ugonjwa huu toka zamani sana.
Dalili za malaria ni kama homa, maumivu ya viungo, viungio na mvurugiko wa tumbo. maumivu ya kichwa, kutapika ama kichefuchefu. Kutokwa na jaho na kukosa hamu yakula. Kuhisi baridi kali sana na kutetemeka. Kama mgonjwa atachelewa kutibu dalili hizi anaweza kuchanganyikiwa, kushindwa kupumua na hatimaye kifo. Kuusoma zaidi bofya hapa
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowPata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Kama unasumbuliwana tumbo upande wa kulia, kushoto, kitomvuni ama kuoande wa kuliavkwachini, basi muulizaji huyu atakupa uelewa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia dalili za hatari kwa aliyefanyiwa upasuaji, ni mbinu mbalimbali ambazo utumika ili kujaribu kuepuka Dalili za hatari kwa aliyefanyiwa upasuaji.
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo baada ya tendo la ndoa
Soma Zaidi...