Namna ya kuzuia dalili za hatari kwa aliyefanyiwa upasuaji

Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia dalili za hatari kwa aliyefanyiwa upasuaji, ni mbinu mbalimbali ambazo utumika ili kujaribu kuepuka Dalili za hatari kwa aliyefanyiwa upasuaji.

Namna ya kuzuia dalili za hatari kwa aliyefanyiwa upasuaji.

1. Kuwepo kwa umakini wakati wa kufanya upasuaji ili kuzuia makosa ya kukata viungo vingine visivyohusiana na upasuaji ambavyo kwa kawaida ndicho utoa sana damu, kwa hiyo wanapaswa kuandaliwa wataalamu wenye ujuzi ili kuweza kuepuka usumbufu ambao utokea kwa wagonjwa hasa hali ya kutoka damu ambapo ikizidi usababisha mgonjwa kupoteza kiwango cha dumu natimaye kupoteza maisha 

 

 

2. Kuhakikisha kuwa Mama ana maji ya kutosha mwilini na na madini ya kutosha kabla hajaenda kwa sababu anapofanyia upasuaji anapoteza damu na maji pia na madini upungufu a na saa nyingine mgonjwa anaweza kuzimia, ni vizuri kabisa kuwa mgonjwa anapaswa kuwa na maji kabla ya upasuaji, wakati wa upasuaji ili kuepusha hali hiii ambayo ni kupoteza maji na kusababisha madhara makubwa

 

 

3. Pia wataalamu wa afya wanapaswa kumweka mgonjwa kwenye mkao mzuri  wakati wa upasuaji ili kuepuka hali ya maji maji kwenye mfumo wa hewa pia wanapaswa  kuwa na kifaa cha kuvuta maji maji ambayokama yameinga kwenye mfumo wa hewa na kuweza kumwacha mgonjwa salama 

 

 

4, Na pia mgonjwa aliyepaswa kujua mzio wowote kuhusiana na dawa anapaswa kutumia ili kuweza kuepuka madhara yatokanayo na  kwa hiyo mkunga anapaswa kumuuliza Mgonjwaç na pia kuchukua history kuhusu dawa kama ashawahi kuzitumia kwa hiyo wote wanapaswa kuwa macho ili kuhakikisha kuw mgonjwa amepata huduma inayostahili

.

 

 

 

Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.

Download Now Bongoclass

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Jifunze Main: Afya File: Download PDF Views 736

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi    👉2 Simulizi za Hadithi Audio    👉3 Madrasa kiganjani    👉4 Kitabu cha Afya    👉5 Kitau cha Fiqh    👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)   

Post zinazofanana:

KITABU CHA MATUNDA

Jifunze sifa na aina za matunda, vijuwe viruturubisho

Soma Zaidi...
darasa la lishe

Jifunze mengi kuhusu afya na lishe, ujuwe utaratibu wa lishe

Soma Zaidi...
Dondoo za afya 1-20

Somo Hili linakwenda kukuletea dondoo mbalimbali za afya

Soma Zaidi...
VIZAZI

Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote

Soma Zaidi...
kitabu cha matunda

Jifunze sifa na aina za matunda, vijuwe viruturubisho

Soma Zaidi...
MAWAKALA WA KUSABABISHA NA KUSAMBAZA MARADHI

Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote

Soma Zaidi...
Vipi kinyesi cha haja kubwa kinaelezea afya ya mtu

Katika somo hili tutajifunza ni Kwa namna gani afya Yako inaweza kuelezewa kupitia kinyesi

Soma Zaidi...