Posti hii inahusu zaidi dalili mbalimbali ambazo Uweza kujitokeza na kuona kwamba ni Dalili za miguu kufa ganzi, pengine utokea kwa watu wote na pengine huwa ni kwa ghafla
1. Dalili ya kwanza ni kushindwa kushika au kunyanyua vitu.
Kuna kipindi kunakuwepo na tatizo la mtu kushindwa kunyanyua vitu hali ambayo usababishwa na nevu za sehemu fulani kutofanya kazi vizuri.
2. Uchovu wa mwili.
Kuna kipindi kabla ya miguu kuanza kufa ganzi kuna maumivu mbalimbali ambayo Uweza kuhisi na kusababisha uchovu wa mara kwa mara
3. Kuwepo kwa maumivu au miguu kuwaka moto.
Kwa sababu ya nevu kushindwa kufanya kazi kuna kipindi kunakuwepo na maumivu kwenye miguu na pia kuwaka moto kwenye miguu.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
MATIBABU YA VIDONDA VYA TUMBO Matibabu ya vidonda vya tumbo inategemea sababu.
Soma Zaidi...HOMA YA DENGUEHoma ya dengue ni miongoni mwa maradhi hatari ambayo husambazwa na mbu.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za VVU/ UKIMWI
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi vyanzo vya kuwepo kwa sumu mwilini, kwa sababu kuna wakati mwingine tunapata magonjwa na matatizo mbalimbali ya ki afya tunaangaika huku na huko kumbe sababu kubwa ni kuwepo kwa sumu mwilini na vyanzo vya sumu hiyo ni kama ifuatavy
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ya ugonjwa wa madonda ya koo usipotibiwa, ugonjwa huu usipotibiwa unaweza sababisha madhara mbalimbali kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Kisukari cha Aina ya 2, ambacho wakati mmoja kilijulikana kama Kisukari cha watu wazima au kisichotegemea insulini, ni ugonjwa sugu unaoathiri jinsi mwili wako unavyobadilisha sukari (glucose), chanzo muhimu cha nishati ya mwili wako.
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha ishara na dalili za Saratani ya utumbo mdogo
Soma Zaidi...