Nguzo za uislamu (EDK form 3:dhana ya elimu ya uislamu)
4.5. Hijjah.
Umuhimu na Nafasi ya Hijjah katika Uislamu.
Hijjah ni nguzo ya tano ya Uislamu.
Baada ya shahada, swala, zakat na funga, nguzo muhimu na ya mwisho ya Uislamu ni Hijjah.
Rejea Quran (3:97).
Hijjah ni amri ya Mwenyezi Mungu (s.w).
Kama ilivyofaradhi kwa nguzo zingine, Hijjah ni ibada ya lazima kwa waislamu wenye uwezo wa kimali na afya.
Rejea Quran (3:97).
Kutoenda Hija makusudi ni kustahiki adhabu za Mwenyezi Mungu.
Kwa kila muislamu mwenye uwezo, akipuuza kutekeleza ibada ya Hijah basi anastahiki adhabu hapa duniani na Akhera pia.
Rejea Quran (3:97).
Kutekeleza ibada ya Hija hupelekea kupata msamaha Duniani na Akhera.
Kwa kila mwenye kutekeleza ibada ya Hijjah ipasavyo, basi husamehewa madhambi yake yaliyotangulia.
Umeionaje Makala hii.. ?
Je unadhani ni kwa nini waislamu wanaelekea kibla, na jinsi gani utaweza kukipata kibla.
Soma Zaidi...Uislamu ndio dini pekee ambayo inatoa ufumbuzi juu ya suala la riba.
Soma Zaidi...Nguzo za uislamu, kusimamisha swala za Sunnah (EDK form 2: Dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Post hii fupi itakwenda kukujulisha utaratibu wa kula daku.
Soma Zaidi...Endapo mtu yupp katika orodha ya wanaotakiwa kutithi, anaweza kuzuiliwa kurithi kwa kuzingatia haya.
Soma Zaidi...