Posti hii inahusu zaidi Magonjwa vya kurithi ambayo mara nyingi utokea kwenye jamii ni magonjwa ambayo yanaweza kutokea kwenye familia na wanafamilia walio wengi wakaweza kupata ugonjwa huo Magonjwa yenyewe ni kama ifuatavyo.
1.Ugonjwa wa pumu au Athman.
Huu ni mojawapo ya magonjwa ya kurithi nkwa sababu yanaweza nkuenea kwenye famii kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa sababu ya kuwepo kwenye familia huu Ugonjwa utakuta una baba, babu na pengine uko kwa mtoto.
2. Magonjwa ya macho na kuweza kwa upofu kwenye familia.
Na huu ni mojawapo ya magonjwa ya kurithi kwa sababu uweza kutokea kwenye familia na ukakuta familia nzima ina Ugonjwa huu kwa hiyo huu Ugonjwa unaweza kusambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na ukakuta familia nzima yote ina Ugonjwa huu.
3. Kuwepo kwa tatizo la mbilikimo.
Kwa mfano unaweza ukakuta familia yote asilimia kubwa ya watu waliomo ni mbilikimo na ukiangalia kutoka kizazi kimoja kwenda kingine ni mbilikimo.
4. Matatizo ya kuwepo kwa kifafa kwenye familia.
Ingawa kifafa kingine utokea kwa sababu ya Ugonjwa na pengine kwa sababu ya hali mbalimbali ila kuna familia nyingine unaweza kukuta kuna watu hata wakiwa wazima bado wanaanguka kwa sababu ya kuwepo kwa kifafa.
5. Matatizo ya akili.
Na pia utokana na kurithi kwa sababu unaweza kukuta familia yote watu wote wana Magonjwa ya akili.
6.kuwepo kwa albino.
Na hili ni tatizo la kuridhi kwa sababu unaweza kukuta kwenye familia kuna watoto wengi wa albino na ukija kuangalia ni kutoka kwa mababu Kun mtu alikuwa hivyo.
7. Ugonjwa wa seli mundu yaani sickle cell ni kitendo ambacho seli zinakuwa na kiasi kidogo cha kusambaza gasi ya oksijeni mwilini na kwa mwonekano wake seli zinatengeneza sickle.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Nimonia ni Hali ya kuvimba pafu inayoathiri hasa vifuko vya hewa viitwavyo Alveoli, husababishwa na Maambukizi ya virusi
Soma Zaidi...Malaria husababishwa na vimelea (parasite) ambavyo husambazwa ama kubebwa na mbu aina ya anopheles.
Soma Zaidi...Ugonjwa huu hupelekea kuvimba kwenye ini yako ambayo hutokea wakati mfumo wa kinga ya mwili wako unaposhambulia ini lako.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa macho, ugonjwa huu kwa kawaida una dalili kuu tano kadri ya maambukizi yanavyoongezeka na madhara yake kwa hiyo tunapaswa kujua dalili hizo Kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...NAMNA YA KUGUNDUA VIDONDA VYA TUMBO Ili kugundua vidonda, daktari wako anaweza kwanza kuchukua historia ya matibabu na kufanya uchunguzi wa mwili.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa Donda Koo ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea viitwavyo kwa kitaalamu corynebacterium diphtheria, ugonjwa huu ushambulia Koo na unaweza kuenea kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa njia ya hewa, mate na
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa Dondakoo na namna unavyoweza kuenea kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za uti wa mgongo ni dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye tatizo la uti wa Mgongo.
Soma Zaidi...