Sababu zinazopelekea tumbo kujaa gesi
Kiufipi posti hii inaelezea kuhusiana na dalili na sababu zinazopelekea tumbo kujaa gesi
Zifuatazo Ni dalili za tumbo kujaa gesi
1.kipungua uzito.
2.kukosa choo au kupata choo kigumu
3.kuharisha
4.kinyesi kuwa na Damu au mkojo.
5.homa.
6.mwili kukosa nguvu.
Zifuatazo Ni sababu zinazosababishwa tumbo kujaa gesi
1.kula vyakula vyenye gesi.
2.vidonda vya tumbo.
3.mwili kukosa maji; ambapo maji yakikosekana mwili mmeng'enyo wa chakula huwa mgumu kufanyika mfano umekunywa pombe au vyakula vya asidi alaf maji mwilini hayapo hupelekea tumbo kujaa gesi
4.kukosa choo au choo kuwa kigumu; Ni kwasababu mtu habati mlo kamili Kama vile vyakula visivyo na nyuzinyuzi, au vilivyokobolewa,kutokunywa maji na msongi wa mawazo huweza kusababisha tumbo kujaa gesi.
5.mzio wa chakula (alegi) Kuna vyakula ambavyo mtu akila atakuwa navyo na alegi hivyo hupelekea mtu huyo kujaa gesi tumboni mwake.
6.saratani;endapo utapata Saratani ya utumbo mkubwa hupelekea tumbo kujaa gesi
6.maambukizi; endapo utakuwa na maambukizi kwenye utumbo Kama vile fangasi, bacteria na virusi lazima tumbo lijae gesi.
7.majeraha kwenye mfumo wa chakula; mfumo wa chakula ukipata tu mikwaruzo au vidonda vidonda hupelekea tumbo kujaa gesi.
Mwisho; tumbo likijaa gesi huwa na dalili zake ambazo huonekana hivyo basi Ni vyema kuonana na dactari ili kupata matibabu mapema .
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉3 Madrasa kiganjani 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 web hosting 👉6 Kitabu cha Afya
Post zinazofanana:
Dalili kuu za Malaria mwilini
Malaria husababishwa na vijidudu vidogo parasite wanaojulikana kama plasmodium. Vijidudu hivi hubebwa na mbu aina ya anophelesi. Kuna ina nyingi za plasmodium lakini aina 5 tu ndizo husababisha malaria
Soma Zaidi...Jinsi ya kusafisha mfuko wa uzazi baada ya mimba kuharibika.
Katika jamii, mara nyingi tunasikia kuhusu "kusafisha mfuko wa uzazi" baada ya mimba kuharibika au baada ya kujifungua. Ni muhimu kufahamu kuwa, kwa mujibu wa sayansi ya tiba, mfuko wa uzazi (uterasi) ni kiungo chenye uwezo wa kipekee wa kujisafisha chenyewe kupitia mchakato wa kusinyaa na kutoa damu na tishu zilizobaki (lochia). Makala haya yanalenga kutoa elimu sahihi kuhusu jinsi ya kusaidia mwili wako katika kipindi hiki cha uponyaji na wakati gani unapaswa kutafuta msaada wa kitabibu.
Soma Zaidi...Kulegea kwa mwili na uchovu wa mara kwa mara: Chanzo chake.
Uchovu wa mara kwa mara na hali ya kulegea kwa mwili ni malalamiko ya kawaida yanayoweza kuashiria changamoto za kifizikia, kisaikolojia, au mtindo wa maisha. Makala haya yanachunguza visababishi vya ndani na nje vya hali hii, umuhimu wa utambuzi sahihi, na mikakati ya kitaalamu ya kurejesha nishati na ustawi wa mwili.
Soma Zaidi...Sababu za maumivu ya tumbo kitovuni
Somo hili linakwenda kukuletea sababu za maumivu ya tumbo kitovu i
Soma Zaidi...Kichwa kinaniuma mbele sielewi nini
Zijuwe sababu za kuumwa nankichwa upande mmoja wa kichwa.
Soma Zaidi...Fangasi wa sehemu za Siri
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu fangasi wa sehemu za Siri
Soma Zaidi...