Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu ambao kwa kitaalamu huitwa Dementia ugonjwa huu uwapata wale ambao umri umekwenda lakini kwa wakati mwingine Usababishwa na vitu mbalimbali kama tutakavyoona.
Ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu.
1. Kwaza kabisa tunapaswa kujua kuwa ili mtu aje kufikia hatua ya kupoteza kumbukumbu ni lazima seli za kwenye ubongo zinakuwa zimeharibika ndio ufanya ufanya mawasiliano yanakuwa na wasi wasi na kuanza kupoteza kumbukumbu.
2. Msongo wa mawazo nao usababisha kuharibika kwa seli za kwenye ubongo na kusababisha kupoteza kumbukumbu.
3. Unywaji wa pombe kupita kiasi.
Kwa wale ambao wanakunywa pombe kupita kiasi uharibu seli za kwenye ubongo na pia Usababisha kupoteza kumbukumbu kwa hiyo kwa wanywaji wa pombe wanapaswa kuacha ili kupunguza kuharibika kwa seli.
4.matumizi ya dawa bila kuwa na mpangilio.
Kuna wale ambao wanatumia dawa bila kuwa na mpangilio na au ushauri wa daktari kwa hiyo Usababisha kuharibika kwa seli na pia kusababisha kupoteza kumbukumbu.
5.upungufu wa vitamini mwilini.
Kutokana na kutokuwepo kwa vitamini ambavyo ni muhimu kwa ajili ya seli ambazo zipo kwenye ubongo usababisha kuaribika kwa seli na hatimaye kuwepo kwa kupotea kwa kumbukumbu.
6. Matatizo yatokanayo na tezi aina ya thyroid Usababisha kuaribika kwa seli kwenye ubongo na hatimaye kusababisha kupotea kwa kumbukumbu kwa walio wengi.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kuishiwa damu kwa kitaalamu huitwa(Anemia) ni ugonjwa wa kuishiwa na damu mwilini na kusababisha maisha ya mtu kuwa hatarini
Soma Zaidi...Ugojwa wa pumu ni hatari na unaweza kutokea ghafla. Lakini je unaweza kusababisha kifo, makalahii itakwend akujibu swali hili
Soma Zaidi...Vidonda vya tumbo no tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda,hutokea baada ya ukuta wenye ute unaozuia kemikali za kuyeyusha chakula unaitwa mucus kuharibika. Vidonda vya tumbo (peptic ulcers) imegawanyika katika ma
Soma Zaidi...HATUA ZA KUJIKINGA NA VIDONDA VYA TUMBO Unaweza kupunguza hatari yako ya vidonda vya tumbo ikiwa unafuata mikakati sawa inayopendekezwa kama tiba ya nyumbani kutibu vidonda.
Soma Zaidi...Ugonjwa wa degedege ni ugonjwa unaowapata sana watoto chini ya miaka mitano ingawa na watu wazima wanapatwa na ugonjwa huo
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza vitu vinavyosababisha maumivu ya tumbo chini ya kitovu
Soma Zaidi...Upungufu wa damu ni tatizo la kiafya, lakini kupunguwa seli nyeupe za damu ni tatizo zaidi, nikwa sabaabu seli hizi ndizo ambazo hupambana na wadudu shambulizi wanapoingia mwilini.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi tatizo la tezi koo, ni tatizo ambalo uwapata watu mbalimbali ambapo Usababisha koo kuvimba na mgonjwa huwa na maumivu mbalimbali na pengine mgonjwa upata kikohozi kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi kwenye koo.
Soma Zaidi...