KUZALIWA KWA MTUME (S.
![]()
![]()
KUZALIWA KWA MTUME (S.A.W) NA MAISHA YAKE KABLA YA UTUME.
Mtume (s.a.w) alizaliwa siku ya juma tatu katika mweze rabil-awali (mfunguo sita) mwezi tisa (9) kwa mujibu wa wanahistoria katika mwaka wa tembo 571 B.K. baada ya kuzaliwa mama yake alituma mtu aende akatoe habari kwa mzee Abdul al-Muttalib juu ya kuzaliwa kwa mtoto. Kwa furaha kabisa alikuja mzee na akamchukuwa mtoto akambeba na kuelekea nae mbele za al-kaβaba (nymba tukufu ya Allah) kwa kutoa shukrani zake za dhati kwa Mwenyezi Mungu. Kisha akampa jina la Muhammad, jina ambalo halikuwa likijulikana na waarabu.
Kama ilivyo kawaida ya waarabu na jamii zingine wakati ule, Muhammad alinyonya kwa mama yake na kwa baadhi ya wanawake. Mtu wa kwanza kumnyonyesha Mtume baada ya mama yake ni Thuwaibah huyu alikuwa na mtumwa wa baba yake mdogo Abuu Lahab. Alivyonya Mtume Kwa Thuwaibah pamoja na mtoto wake Thuwaybah aitwaye Mosrouh. Pia Thuwaybah aliwahi kumvyonyesha Hamzah bin βAbdul-Muttalib na baadaye alimnyonyesha Abu Salamah bin βAbd Al-Asad Al-Makhzumi.
Umeionaje Makala hii.. ?
KULELEWA NA MAMA YAKE ALIPOFIKA MIAKA MINNEMtume (s.
Soma Zaidi...Kuanzishwa kwa Dola ya Kiislamu Madinah.
Soma Zaidi...Bara arabu zama za jahiliyyah (EDK form 2 dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Dola ya uislamu madinah (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...βNa (kumbukeni habari hii) Mola wake alipomfanyia mtihani (Nabii) Ibrahiim kwa amri nyingi; naye akazitimiza.
Soma Zaidi...