Post hii inakwenda kukufundisha mambo ambayo hubatilisha udhu yaani mam,boa mbayo yanaharibu udhu.
Kabla ya kuona mabo ambayo yanaharibu udhu vyema kwanza tujuwe mambo ambayo yanalazimu kuwa mtu awe na udhu. Mambo jhayo ni kama swala. hata hivyo yapo ambayo yanapendeza uwe na udhu kama kusoma Quran.
Mambo yanayoharibu udhu:
1. Kutokwa na ndogo (mkojo)
2. kutokwa na haja kubwa
3. kutokwa na upepo (kujamba)
4. Kulala tofauti na mlalo wa kuambatanisha makalio ardhini
5. kuzimia
6. kutokwa na madii
7. kutokwa na madhii
8. Kutokwa na hedhi
9. Kutokwa na damu ya ugonjwa
10. Kulewa ama ulevi
11. Kutokwa na akili
Pia mambo yafuatayo kuna kutokukubaliana kwa maulamaa kuhusu kutokwa na udhu. Wengine wanakubali lakini wengine wanakataa. Mambo hayo ni kama:-
1. Kumgusa mwanamke ambaye ni halali kumuoa ama mkeo
2. Kumbusu
3. Kugusa sehemu za siri
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Postvhiibinakwenda kukufundisha kuhusu swala ya msafiri na jinsi ya kuiswali.
Soma Zaidi...Hapa utajifunza aina za biashara ambazo ni haramu.
Soma Zaidi...Mwezi ukionekana sehemu moja, Waislamu wote ulimwenguni watalazimika kufunga?
Soma Zaidi...Hizi ndio haki kuu tano unazopasa kumpatia Muislamu mwenzio.
Soma Zaidi...