Vidonda vya tumbo
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu ugonjwa wa vidonda vya tumbo
VIDONDA VYA TUMBO
Ni vidonda vinavyotokea katika ukuta wa tumbo. Vidonda hivi tumezoea kuviita vidonda vya tumbo ila hapa nitataja kitaalamu kuwa vidonda hivi hufahamika kama peptic ulcers. Vidonda hivi hutokea kutokana na mashambulizi ya bakteria wanaoitwa H.pylori au kulika kwa ukuta wa tumbo kutokanana na athari za tindikali zilizopo tumboni (stomach acids) kama vile tindikali ya hydrocloric yaani hydrocloric acid. Kwa wakati tulio nao hili ni tatizo la kawaida maana limewapata watu wengi na halisabababishi vifo vya watu wengi kama maaradhi ya saratani na kisukari.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 web hosting 👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉3 Kitabu cha Afya 👉4 kitabu cha Simulizi 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
Usafi wa ukeni: Njia sahihi za kuepuka fangasi.
Fangasi wa ukeni (Vaginal Candidiasis) ni tatizo linalotokana na ukuaji wa kupita kiasi wa vimelea aina ya Candida. Ingawa uke una uwezo wa kujisafisha wenyewe kwa kutumia bakteria rafiki (Lactobacilli), mabadiliko ya mazingira ya uke yanaweza kuvuruga uwiano huo na kusababisha maambukizi. Makala hii inatoa mwongozo wa kitaalamu kuhusu namna bora ya kutunza usafi wa uke ili kuzuia fangasi na kudumisha afya ya uzazi.
Soma Zaidi...Dalili za maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo
Posti hii inahusu zaidi maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo,ni dalili ambazo ujionesha kwa mtu akiwa na shida kwenye utumbo mdogo na tumbo la kawaida.
Soma Zaidi...Kuumwa na mgongo: Matatizo ya disc na jinsi ya kuepuka upasuaji.
​Maumivu ya mgongo ni mojawapo ya changamoto kubwa za kiafya zinazomkabili binadamu wa karne ya 21. Kati ya visababishi vikuu, matatizo ya diski za mgongo (spinal disc issues) yanashika nafasi ya juu. Makala hii inatoa mwongozo wa kina kuhusu namna diski zinavyofanya kazi, nini kinatokea zinapoharibika, na muhimu zaidi, mikakati ya kitabibu na mazoezi yanayoweza kukusaidia kuepuka njia ya upasuaji na kurejesha ubora wa maisha yako.
Soma Zaidi...VIRUSI VYA KORONA AU CORONA (CORONAVIRUS)
Virusi vya korona ni katika aina za virusi ambavyo asili yake ni kutoka kwa wanyama na kuja kwa binadamu.
Soma Zaidi...