MARADHI MAKUU HATARI MATANO (5) YANAYOENEZWA KWA KUNG'ATWA NA MBU (malaria ndio inachukua nafasi ya kwanza)

MARADHI MAKUU HATARI MATANO (5) YANAYOENEZWA KWA KUNG'ATWA NA MBU (malaria ndio inachukua nafasi ya kwanza)

1.

MARADHI MAKUU HATARI MATANO (5) YANAYOENEZWA KWA KUNG'ATWA NA MBU (malaria ndio inachukua nafasi ya kwanza)

MARADHI MAKUU 13 YANAYOENEZWA NA MBU

Mbu ni mdudu anayeongoza kwa kusababisha vifo vya watu wengi duniani. zaidi ya watu miliono mia mbili wanaathiriwa na maradhi yaletwayo na mbu kila mwaka duniani. Katika makala hii nitakwenda kukuletea maradhi ambayo yanasambazwa na mbu:-

1. VIRUSI VYA ZIKA (ZIKV)
2. HOMA YA DENGUE
3. HOMA YA CHIKUNGUNYA (CHIKV)
4. MALARIA
5. HOMA YA BONDE LA UFA (RVFD)
6. MENGINEYO
7. KWA NINI MBU HAWEZI KUAMBUKIZA HIV


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Views: 1712

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
πŸ‘‰1 Kitau cha Fiqh     πŸ‘‰2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     πŸ‘‰3 Bongolite - Game zone - Play free game     πŸ‘‰4 ai web app     πŸ‘‰5 Simulizi za Hadithi Audio     πŸ‘‰6 Dua za Mitume na Manabii    

Post zinazofanana:

Dalili za mimba ya wiki mbili unazopaswa kujua

​Post hii inaangazia kile kinachotokea mwilini mwako katika wiki ya pili ya ujauzito. Ingawa wiki ya pili mara nyingi huchukuliwa kama kipindi ambacho mwili unajiandaa kuachilia yai, tutaangazia ishara za mwanzo kabisa za utungaji wa mimba, jinsi ya kuzitambua, na hatua za kuchukua ili kuhakikisha afya njema.

Soma Zaidi...
je maambukizi ya virus vya ukimwi yataonekana kwenye kupimo baada ya siku ngap??

Ni muda gani nitaanza kuona dalili za HIV na kilimo kitaonyesha kuwa nimeathirika?

Soma Zaidi...
Shinikizo la damu (High Blood Pressure): Sababu na vyakula vya kuepuka.

Shinikizo la damu (Hypertension) ni tatizo sugu la kiafya linaloathiri mamilioni ya watu duniani kote. Makala hii inachunguza kwa kina kiini cha shinikizo la damu, sababu zake kuu, na umuhimu wa lishe katika kudhibiti hali hii. Kwa kuelewa vyakula vya kuepuka na mabadiliko ya mtindo wa maisha, unaweza kulinda afya ya moyo wako na kuzuia madhara makubwa kama kiharusi na ugonjwa wa figo.

Soma Zaidi...
Ukiwa na aleji , afu kupata muwasho korodani unapo jikuna unga kutoka nayo fangasi?

Swali langu: Ukiwa na areji , afu kupata muwasho korodani unapo jikuna unga kutoka nayo fangasi?

Soma Zaidi...
Dalili za Homa ya uti wa mgongo (meningitis)

Posti hii inahusu zaidi dalili za Homa ya uti wa mgongo, ni dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye maambukizi kwenye uti wa mgongo.

Soma Zaidi...