Chanzo cha matatiza ya simu/kompyuta
Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..
Seemu ya sita
.
4. KUJAA KWA MEMORY AU HARD DISK:
Tokeo la picha la full meoryHili ni jambo jingine linaloifanya kompyuta au simu yako kuwa slow.Pindi hard disk inapokuwa imejaa inapelekea kommpyuta yako kuwa slow halikadhalika simu yako kama memori itakuwa imejaa pia hupelekea simu yako kuwa slow kama tulivyozungumzia hili katika post zilizopita.
Jambo la kufanya hapa ni kuhakikisha kuwa kifaa chako kina nafasi ya kutosha. Pia punguza au futa CACHED DATA kwa aelezo zaidi katika hili bofya hapa.
Ama cached data kwa watumiaji wa kompyuta utahitajika kuclean kompyuta yako kama pia unaweza kutumia baadhi ya software kwa ajili ya kuclean kompyuta yako ila hapa unatakiwa uwe makini unaweza kufuta data zako. kupata software huzo unaweza kufuata linki hii hapa bofya hapa.
5.MATATIZO KATIKA HARD DISK:
Hard disk ni kifaa cha kuhifadhia kumbukumbu katika kompyuta. Pia ijulikane kuwa window tunazozitumia huwa zinahifadhiwa katika hard disk. hivyo tatizo lolote litalotokea katika hard disk linaweza kuathiri mfumo mzima wa utendaji wa kazi wa kifaa chako.
kikawaida hard disk ikiwa na matatizo inazungunza yenyewe kwa kukuletea warning yaan onyo kuwa hard disk yako inamatatizo hivyo ubackup data zako ili zisije kupotea pindi ikiharibika kabisa. Pia tutambuwe kuwa itapoharibika hard disk hakuna na,na ya kuzipata data zilizokuwa mule hivyo kila ambacho kimo kitapotea.
jambo la msingi hapa nji kuwahi kubadili hard disk yako. pia pindi ukipata onyo hilo uwahi kuzihamisha data zako kwenda sehemu salama zaidi. Muone fundi wa hard ware akubadilishie hard disk yako kama inakupa warning. Kitu cha msingi hapa ni kuhakikisha unanunuwa disk mpya kutoka dukani kwani za kunu nua kwa watu kuenda ikawa na matatizo pia.
6.KUWA NA ADD-ONS NYINGI KATIKA KIVINJARI CHAKO CHA TOVUTI:
Hizi ni EXTENSIONS ambazo husaidia kivinjari chako yaan internet browser kuweza kufunguwa baadhi ya web kwa kutumia shotkat (njia ya mkato) na kuweza kufanya kazi moja kwa moja bila ya kuingia website yenyewe. Au ni software ambazi hujishikiza katika kivinjari cha inatanet kwa lengo la kufanya kazi zinazohitaji internet kwa urahisi na uharaka zaidi.
Tokeo la picha la add-onsHizi extention sio zote zimetengenezwa kukusaidia kufanya kazi za kukurahisishia katika kubrows bali zimekuwa zikileta pop yaani vijiatangazo ambavyo vinaweza kuishughulisha kompyuta yako na kuwa nzito. wakati mwingine hiz add-ons zinaweza kukuunganisha katika website ambazo hukukusudia kuingia au kudaunlod software kioutomatik.
Kitu ch kufanya hapa ni kuhakikisha unaziondowa adds zote ambazo hauzitumii, na kama tatizo likiendelea ni vizuri zaidi kuzitowa zote katika kivinjari chako. Jinsi ya kuzitowa inategemea na aina ya kivinjari chako ila kitu cha kuziingatia ni kuingia katika menu ya kivinjari chako kisha tafuta neno EXTENTION kisha delet zote.
Huu ndo ukamilisho wa mada yetu iliyokuwa ikihusu mambo yanayosababisha kompyuta au simu yako kuwa slow. Kupata nukuu zilizopita bofya hapa.
‹ ‹ Nyuma Mbele › ›› WhatsApp ‹ Whatsapp
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 Kitabu cha Afya 👉6 Madrasa kiganjani
Post zinazofanana:
Utafanyaje ili blog yako ionekane Google, Big, Yandex ama yahoo?
Post hii inakwenda kukufundisha kwa ufupi jinsi ya kuifanya blog yako, ama post za kwenye blog yako ziweze kupatikana kwenye search Engine kama Google, Bong, yandex na yahoo.
Soma Zaidi...Utajiaje kama simu/kompyuta ina virusi
Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..
Soma Zaidi...Matatizo katika hard disk
Posti hii inakwenda kukupa baadhi ya matatizo katika hard disk
Soma Zaidi...Jinsi ya kutuma sms ndefu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kutuma sms ndefu
Soma Zaidi...Kurudisha mafaili na data zilizopotea
Posti hii inakwenda kukupa elimu ya kurudisha mafaili na data zilizopotea
Soma Zaidi...Maana ya legacy contact katika Facebook
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maana ya legacy contact katika facebook
Soma Zaidi...