picha

Sababu za Quran kuwa mwongozo sahihi wa maisha ya mwanadamu

Nguzo za imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

 

Maana halisi ya kuiamini Qur’an kama Kitabu pekee cha mwongozo sahihi wa maisha ya mwanaadamu (muumini) ni kufanya yafuatayo;

  1. Kuwa na yakini pasina shaka yeyote kuwa Qur’an yote ni maneno ya Mwenyezi Mungu (s.w) peke yake.

Rejea Qur’an (2:2).

 

  1. Kuufahamu vyema ujumbe wa Qur’an na kuuheshimu inavyostahiki kwa kujizatiti katika kujifunza kuisoma na kuijua ipasavyo.

Rejea Qur’an (73:4) na (7:204-205).

 

  1. Kulifahamu vyema lengo la Qur’an na kuiendea kwa lengo lake tu.

Rejea Qur’an (14:1), (2:185) na (16:64).

 

  1. Kuitekeleza Qur’an katika kukiendea kila kipengele cha maisha yetu ya kila siku kwa mujibu wa lengo lake tu.

Rejea Qur’an (5:44, 46-47).

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 2022/01/15/Saturday - 07:59:45 am Topic: Quran Main: Dini File: Download PDF Views 3059

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh    👉2 Bongolite - Game zone - Play free game    👉3 Dua za Mitume na Manabii    👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉5 Kitabu cha Afya    👉6 Simulizi za Hadithi Audio   

Post zinazofanana: