Je unasumbuliwa na maumivu ya tumbo. Unadhani ni dalili za mimba na ukapima hakuna mimba.
Swali
Namke wangu ana sumbuliwa na tumbo lina muuma upande wa kushoto mda mwingine chini ya kitovu na kiuno kina muuma na kicha na ana jisikiya kuchoka kuchoka ila mwe wa 7 aja ziona siku zake kaja kuziona mwez 8 Talee 26 Adi leo i ana tokwa na dam mda mwingine anatokwana kama mtindi ukuni auna alufu wala akumuumi wala kuwasha ukeni na ana jisikiyaga kichefuchefu ila jana kajirikiya kichefu chefu akatapika ila mwishoni akawa ana tapika chakula kilicho changanyika na dam nini tatizo eti
Jibu
mpeleke hospitali, huwenda ama PID huwenda pia na typhod. Kwa uhakika zaidibapate vipimo
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Njoo ujifunze vyakula vya kuboresha mbegu za kiume na nguvu za kiume.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi sababu za kuvunjika kwa mtoto wakati wa kuzaliwa, kuna wakati mtoto anapozaliwa anaweza kuvunjika kwenye sehemu mbalimbali kwa sababu zifuatazo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea njia za asili walizotumia zamani katika kupima ujauzito
Soma Zaidi...Kipimo cha mimba kwa mkojo kimekuwa kikitumika sana kuangalia ujauzito. Kipimo hiki kinapotumika vibaya kinaweza kukupa majibu ya uongo. Kuwa makini na ujue muda sahihi.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi chanzo cha mvurugiko wa hedhi, Kuna kipindi hedhi uvurugika kabisa, pengine unaweza kupata hedhi mara mbili kwa mwezi au kukosa au pengine siku kuwa zaidi ya tano mpaka Saba au kuwa chache, hali hii utokea kwa sababu mbalimbali tut
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kuhusu kwa mimba kutoka kabla ya mda wake,ni kitendo ambacho mimba utoka kabla ya wiki ishilini na na nane.
Soma Zaidi...Tafiti zinaonesha kuwa karibia asilimia 10% mpaka 25% ya wanawake wanaopata ujauzito, mimba zao hutoka.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za kushindwa kuzalishwa mayai kwa mwanamke, ni tatizo ambalo utokea kwa mwanamke ambapo mwanamke anashindwa kuzalisha mayai.
Soma Zaidi...