Sura hii imekuja kukata rai ya Makafiri wa Makka kuhusu ibada ya ushirika. Hivi leo tungesema kuhusu dini mseto.
SURATUL-KAFIRUN
Imeteremshwa maka na inaelezwa katika sababu za kushuka kwake ni kuwa Kundi la makafiri lilimfuata mtume (s.a.w) na kutoa rai ya kuwa Mtume (s.a.w) ajiunge nao na aabudu miungu yao kwa muda wa mwaka mmoja na wao wataabudu Mola wake kwa muda wa mwaka mmoja.
Na kisha ikionekana dini ya mtume (s.a.w) ni bora zaidi wataifuata na kama yao itakuwa ni bora zaidi ataifuata. Allah akalipinga jambo hili na akateremsha sura hii.
Ni sawa na kusema kuwa kila mmoja aonje dani ya mwenzake, ikiobekana ni tamu ataifuata ila ikimshinda basi. Katika uislamu hakuna jambo hili la kujaribu jaribu ibada.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Jifunze namna ya kusoma quran, pata mafunzo ya tajwid hapa
Soma Zaidi...SURA YA NNE HUKUMU ZA MIYM YENYE SAKNA HUKUMU ZA MIYM SAKINA: Mym sakina ni miym ambayo haina iβrab ( Ω Ω).
Soma Zaidi...Quran (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Jifunze namna ya kusoma quran, pata mafunzo ya tajwid hapa
Soma Zaidi...Jifunze namna ya kusoma quran, pata mafunzo ya tajwid hapa
Soma Zaidi...