Saratul-asr 103
Quran (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu)
- Suratul-A’sr (103): Imeteremshwa Makkah, Ina Aya Tatu.
Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu.
- Naapa kwa zama (zako Ewe Nabii Muhammad!).
- Kuwa wanaadamu yuko katika hasara.
- Isipokuwa wale walioamini na wakafanya vitendo vizuri na wakausiana (kufuata) haki na wakausiana (kushikamana) na subira.
Mafunzo kwa Ufupi.
- Mwenyezi Mungu huapia kitu au kiumbe chochote kinachofahamika ili kutoa uthibitisho kwa kile anachoapia.
- Muumini haruhusiwi kuapa kwa kiumbe chochote isipokuwa kwa jina la Mwenyezi Mungu peke yake.
- Wakati (muda) ni rasilimali muhimu sana inayotakiwa kutumiwa kwa uangalifu mkubwa.
- Imani ya kweli huthibitishwa katika vitendo vizuri.
- Uislamu sio dini ya ubinafsi, hivyo ni lazima watu wausiane katika kufanya wema na kufuata haki.
- Subra ni nyenzo muhimu sana na ya pekee katika kuweza kuusimamisha Uislamu
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 ai web app 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 kitabu cha Simulizi 👉4 Simulizi za Hadithi Audio 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Kitabu cha Afya
👉1 ai web app 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 kitabu cha Simulizi 👉4 Simulizi za Hadithi Audio 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Kitabu cha Afya
Post zinazofanana:
Sababu za kushuka kwa surat An-Nasr (idhaa jaa)
SURATUN-NASR Sura hii imeteremka wakati Mtume (s.
Soma Zaidi...Sababu za kushushwa kwa surat al-kafirum
SURATUL-KAFIRUN Imeteremshwa maka na inaelezwa katika sababu za kushuka kwake ni kuwa Kundi la makafiri lilimfuata mtume (s.
Soma Zaidi...Suratul-takaathur (102) imeteremshwa makkah Ina aya nane
Quran (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Aina saba za Viraa vya usomaji wa Quran
Post hii inakwenda kukuorodheshea aina saba za viraka vya usomaji wa Quran.
Soma Zaidi...