Menu



Je miwa ina madhara yoyote?

Umetaja faida za matunda , mimi ninataka kujuwa Je miwa ina madhara yoyote?

Je miwa ina madhara yoyote?

Umetaja faida za matunda , mimi ninataka kujuwa
Je miwa ina madhara yoyote?



Namba ya swali 049

Mmmh moja katika madhara ya miwa ni kuongeza uzito wa mwili endapo mtu ataila sana kupitiliza



Namba ya swali 049

Sukari inayopatikana kwenye matunda ina madhara gani?



Namba ya swali 049

Sukari ya kwenye matunda ya asili kama vile muwa, ndizi, inamadhara gani mwilini?



Namba ya swali 049

Haina madhara



Namba ya swali 049

Sukari ilyoko kwenye matunda inaweza kupelekea mapigo ya moyo kwenda kasi



Namba ya swali 049

Inawwza kama itakuwa nyingi sana



Namba ya swali 049

Kitaalamu mtu anatakiwa kula muwa kiasi gani? Kwa siku



Namba ya swali 049

Je unasumbuliwa na maradhi



Namba ya swali 049

Maana kitaalamu hakuna madhara ya kiafya kwa kuka muwa



Namba ya swali 049

Mapigo ya moyo huenda kasi hivyo nahofia kula sukari ya muwa na ndizi (nadhani inaweza kuongezatatizo hilo ) kwa hilo unaonaje au niendelee tu kula miwa na ndizi?



Namba ya swali 049

Punguza



Namba ya swali 049

Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.

Download Now Bongoclass

Nyuma Endelea


Je umeipenda post hii ?

Ndio            Hapana            Save post
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Vyakula Main: Afya File: Download PDF Views 2141

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉2 Kitau cha Fiqh    👉3 kitabu cha Simulizi    👉4 Madrasa kiganjani    👉5 Simulizi za Hadithi Audio    👉6 Kitabu cha Afya   

Post zinazofanana:

magonjwa na lishe

DARASA LA AFYA MAGOJWA YANAYOHUSIANA NA VYAKULA 1.

Soma Zaidi...
Nazi (coconut oil)

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nazi

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula kungumanga/nutmeg

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kungumanga/nutmeg

Soma Zaidi...
Pilipili kali

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za pilipili kali

Soma Zaidi...
Tufaha (apple)

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula apple/tufaha

Soma Zaidi...
VYANZO VYA VYAKULA VYA VITAMINI NA FAIDA ZAKE

Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote

Soma Zaidi...
Virutubisho vya mwili

Posti hii inahusu zaidi virutubisho vya mwili, ni aina tano za vyakula ambayo ufanya kazi mbalimbali kwenye sehemu za mwili wa binadamu.

Soma Zaidi...