Je ulaji wa boga unafaa kwa mgonjwa wa kisukari?

Je ulaji wa boga unafaa kwa mgonjwa wa kisukari?

Je ulaji wa boga unafaa kwa mgonjwa wa kisukari?

Je ulaji wa boga unafaa kwa mgonjwa wa kisukari?



Namba ya swali 045

Yes boga husaidia kwa mgonjwa wa kisukari Soma makala hii kujuwa zaidi https://bongoclass.com/matunda/bong.html



Namba ya swali 045

Ugari wa mhogo ulio lowekwa in unafaa kwa mgonjwa wa sukari.



Namba ya swali 045

Ndio unafaha



Namba ya swali 045

Je mahindi yaliyo kobolewa nakulowekwa kwenyemaji kwasiku tatu ugari wake unafaa kwa mngojwa wasukari.



Namba ya swali 045

Hakuna shida



Namba ya swali 045

Mtu mwenye sukari anashauriwa kula chakula kidogo km ugari ,Michele,ndizi Je? na maboga ale kidogo?



Namba ya swali 045

Yes unaweza kula maboga,



Namba ya swali 045

Tikti maji kwa mtu mwenye sukari anashauriwa ale.kiasigani?



Namba ya swali 045

Ni ngumu sana kukueleza kiasi ila anatakiwa ale kwa kiasi kidogi



Namba ya swali 045

Mtu mwenye sukari yakushuka anaweza kutumia alovera ama shubiri



Namba ya swali 045

Swala la alovera bado lina utata ila kuna tafiti ilifanyika inaonyeshabkuwa Alovera inaweza kushusha sukari



Namba ya swali 045

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Vyakula Main: Afya File: Download PDF Views 2877

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game    👉2 Madrasa kiganjani    👉3 Dua za Mitume na Manabii    👉4 Kitabu cha Afya    👉5 kitabu cha Simulizi    👉6 Kitau cha Fiqh   

Post zinazofanana:

Madhara ya mafuta mengi mwilimi

Post hii itakufundisha madhara ya kuwa na mafuta mengi mwilimi

Soma Zaidi...
Vyakula anavyopaswa kutumia mwenye matatizo ya uti wa mgongo

Posti hii inahusu zaidi vyakula anavyopaswa kutumia mwenye matatizo ya uti wa mgongo, ni vyakula ambavyo upunguza makali kwenye uti wa Mgongo.

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula pera

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula pera

Soma Zaidi...
Athari za kula vitamin C kupitiliza

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu athari za kula vitamini C kupitiliza

Soma Zaidi...
Papai (papaya)

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula papai

Soma Zaidi...
VYANZO VYA VYAKULA VYA MADINI NA FAIDA ZAKE

Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote

Soma Zaidi...