Posti hii inahusu zaidi dalili za hatari kwa mtoto aliyezaliwa, ni dalili ambazo ujitokeza tu mtoto anapozaliwa kwa hiyo dalili hizi zinapaswa kuzuiwa ili zisilete madhara makubwa.
Dalili za hatari kwa mtoto aliyezaliwa.
1. Kupumua haraka haraka.
Ni dalili mojawapo ya hatari kwa mtoto, hali hii utokea endapo mtoto upumua pumzi zaidi ya sitini kwa dakika akiwa amelala au amepumzika, hali hii ikitokea kwa mtoto anapaswa kupewa huduma ya kwanza na kuhakikisha kwamba upumuaji wa mtoto unarudi kwenye hali ya kawaida.
2. Kupata hewa kwa shida.
Hii ni mojawapo ya Dalili ya hatari kwa mtoto aliyezaliwa kwa sababu mtoto uanza kukosa hewa na ile ndogo anayoipata anaipata kwa shida ambapo kifua uvuta kwa ndani, mtoto ukoloma , pua kulazimika kutanuka na kufunguka wakati wa kulala na kupumzika , hali hii ikitokea kwa mtoto anapaswa kuwahi kupelekwa hospitalini na kupata huduma mara moja.
3. Joto la mwili kushuka au kupanda.
Na hii ni dalili mojawapo ya hatarini ambapo joto la mwili upanda zaidi ya 37.5,sentigrade na wakati mwingine joto la mwili ushuka chini ya 35.5, sentigrade, hali ya joto kupanda sio nzuri kinaweza kuleta magonjwa mengine kama vile degedege na kupungua kwa damu mwilini kwa hiyo inabidi kuweka mwili kwenye usawa
4. Kuwepo na upele mkali ikiandamana na vipele vikubwa vingine au wakati mwingine vinakuwa na .malengelenge, lakini kama ni upele mdogo huo ni wa kawaida na upona mwenyewe na mtoto uendelee kama kawaida, basi Mama na mkunga baada ya kuona hali kama hii wanapaswa kutafuta daktari na kuhakikisha mtoto an napoñ.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Kutokuona siku zake mwanamke ni ishara kuwa kuna shida kwenye umfumo wa uzazi. Wakati mwingine kutokuona siku ni ishara ya baraka ya kupata mtoto. Ijapokuwa kuna wengine wanadiriki kutoa mimba kwa sababu zisizo za msingi. Je unadhani UTI inaweza kusababi
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ya maambukizi kwenye tumbo,hasa pale ambapo mgonjwa hakutibiwa
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za VVU/ UKIMWI
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi aina mbalimbali za michubuko,kwa Sababu michubuko utokea sehemu tofauti tofauti na pia Kuna aina mbalimbali kama tutakavyoona hapo mbeleni.
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha dalili za ugonjwa wa Vidonda vya kitanda (bed sores)mara nyingi hukua kwenye ngozi ambayo hufunika sehemu za mifupa ya mwili, kama vile visigino, vifundoni, viuno. Vidonda vya kitanda vinaweza kukua haraka na mara nyingi ni vigumu
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu tahadhari za kuchukua ili kujikinga na UTI
Soma Zaidi...Utapiamlo Mkali sana (Marasmus) hufafanuliwa kama aina kali ya utapiamlo ambayo ina sifa ya kupoteza. Utapiamlo uliokithiri umeainishwa katika Utapiamlo Mkali sana (SAM) na Utapiamlo Uliokithiri wa Wastani (MAM), kulingana na kiwango cha kupoteza na kuw
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea dalili za fangasi wa sehemu za Siri kwa wanawake
Soma Zaidi...Muda ambao maambukizi ya virusi vya ukimwi kuonyesha dalili unaweza kutofautiana kutika mtu hadi mwingine.
Soma Zaidi...