UGONJWA WA GONORIA NA DALILI ZAKE (GONORRHEA)Gonoria (gonorrhea) ni katika maradhi yanayoambukizwa kwa njia ya ngono.
UGONJWA WA GONORIA NA DALILI ZAKE (GONORRHEA)
Gonoria (gonorrhea) ni katika maradhi yanayoambukizwa kwa njia ya ngono. Ugonjwa huu husababisha na bakteria na huathiri sehemu za mirija ya mkojo (urthra) puru ama koo.
DALILI ZA UGONJWA WA GONORIA (GONORRHEA)
Kwa wanaume
1.Maumivu wakati wa kukojoa
2.Kutokwa na usaha kwenye kichwa cha uume
3.Maumivu ama kuvimba kwa korodani moja
Kwa wanawake
1.kutokwa na uchavu ukeni
2.Maumivu wakat wa kukojoa
3.Kutokwa na damu wakati wa hedhi isiyokuwa ya hedhi ama baada ya kukutana kimwili
4.Maumivu ya tumbo
5.Maumivu ya nyonga
Umeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya gonorrhea endapo haitotibiwa
Soma Zaidi...Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces, hawa ni fangasi wanaosababisha maradhi yajulikanayo kama blastomycosis.
Soma Zaidi...Mbu ni katika wadudu wanaopatikana maeneo yenye joto hususan maeneo ynye hali ya hewa ya kitropik.
Soma Zaidi...Ugumu wa kumeza (dysphagia) inamaanisha inachukua muda na bidii zaidi kuhamisha chakula kutoka kwa mdomo wako hadi kwenye tumbo lako. Ugumu wa kumeza unaweza pia kuhusishwa na maumivu. Katika baadhi ya matukio, kumeza inaweza kuwa haiwezekani. Ugumu w
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili za Kikohozi cha muda mrefu ni zaidi ya kero. Kikohozi cha muda mrefu kinaweza kuharibu usingizi wako na kukuacha unahisi uchovu. Matukio makali ya kikohozi cha muda mrefu yanaweza kusababisha kutapika, kizunguz
Soma Zaidi...Polio ni ugonjwa wa virusi unaoambukiza ambao katika hali mbaya zaidi husababisha kupooza, kupumua kwa shida na wakati mwingine kifo.
Soma Zaidi...Post hii fupi inakwenda kukujuza juu ya tatizo la fangasi na nini ufanye.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa vericose veini
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo chini upande wa kushoto
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi mkojo kushindwa kutoka kwenye kibofu na kwa kitaalamu huitwa retention of urine.
Soma Zaidi...