Haki na uadilifu katika uislamu (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu)
Aina au migawanyo mbali mbali ya Haki katika Uislamu.
Haki za Allah.
Haki za Nafsi.
Haki za Viumbe na Mazingira.
Haki za Binadamu kwa ujumla.
Haki za Raia katika Dola ya Kiislamu.
Haki za Maadui katika Vita (mateka).
Haki za Mwenyezi Mungu (s.w).
Katika Uislamu haki za Mwenyezi Mungu ziko makundi mawili;
Haki ya Uungu.
Ni kumsifu na kumtii kwa sifa zake kama za uumbaji, umilikaji na ulezi wa viumbe vyote na ukamilifu wake tofauti na viumbe alivyoviumba.
Rejea Quran (45:23), (25:68), (9:31) na (31:13).
Haki ya Kuabudiwa.
Ni Mwenyezi Mungu (s.w) peke yake ndiye anayestahiki kuabudiwa na viumbe vyake muda wote, na ndio lengo kuu la kuumbwa mwanaadamu.
Rejea Quran (51:56), (5:44), (11:25-26) na (29:16-17).
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Hii ni orodha ya mambo ambayo hayawezi kuharimu funga yako endapo utayafanya.
Soma Zaidi...Post hii itakujuza jinsi ya kiswali swala ya tahajudi. Pia utajifunza jinsi ya kuswali swala za usikubyaanibqiyamublayl
Soma Zaidi...Mambo ya faradh kwa maiti ya muislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Haki na uadilifu katika uislamu (EDK form 3:dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...