Kama unapatwa na maumivu ya tumbo na ilhali mkojo ni mchafu, ama una harufu sana, basi post hii ni kwa ajili yako.
Swali
Me pia Nina shida hiyo maumivu chini ya tumbo upande wa kushoto na mkojo wa kaawia Sana na unatoa arufu.
Jibu:
Mkojo kuwa mchafu na wenye harufu sana huwenda ikawa ni dalili ya UTI. Pamoja na maumivu hayo huwenda nayo yanasababishwa na UTI. Ijapokuwa zipo sababu nyingine zinazoweza kusababisha maumivu ya tumbo upande wa kushoto kama shida kwenye mfumo wa chakula, ama tumbo kujaa gesi. Huwenda pia shida kwenye mfumo wa mkojo kama mawe kwenye kibofu ama figo.
Kwanza ukapate vipimo vya UTI, kisha ikionekana hali hivyo hivyo ilhali huna UTI daktari atahitaji kufanya uchunguzi wa afya yako zaidi.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
MINYOO NA HATARI YEKE KWA AFYA Utangulizi Karibu tena kwenye makala zetu za afya.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo baada ya tendo la ndoa
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...