MINYOO NA HATARI YEKE KWA AFYA Utangulizi Karibu tena kwenye makala zetu za afya.
MINYOO NA HATARI YEKE KWA AFYA
Utangulizi
Karibu tena kwenye makala zetu za afya. Makala hii ni katika mwendelezo wa makala zetu za afya na maradhi. Katika makala hii utakwenda kushuhudia mambo mengi sana kuhusu minyoo. Tumechagua mada hii kwa sababu tatizo la minyoo limekuwa ni tatizo pana sana na linaathiri watu wengi hususan waishio vijijini.
Watu wengi hawatambui athari za minyoo kwa mwanadamu ijapokuwa wanaishi na minyoo hata bila ya kugundua. Hatimaye wanashindwa kula kwa kukosa hamu ya kula, wanashindwa kufanya kazi vyema kwa miwasho na ushovu. Wanaingia gharama nyingi kwa kupungukiwa na damu na kutibu maradhi mengine yaliyosababishwa na minyoo.
Hivyo usikose kwenye makala hii yenye faida kwa ajili ya afya yako, na afya ya watu wa karibu yako. Ukigundua kuna kosa lolote katika makala hii, wasilianan nasi kwa haraka zaidi ile kupunguza madhara zaidi yatakayosababisha na kukosea kwetu.
Mwandishi: Mr.Rajabu Athuman
Mchapishaji: bongoclass
Chanzo: www.bongoclass.com
Email: admin@bongoclass.com
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Posti hii inakwenda kukuletea mfumo wa damu mwilini na safari zake za Kila siku
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia au namna ya kufanya ili ngozi iweze kuwa laini bila kuwa na make up yoyote.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa nguo za upasuaji, tunajua wazi kuwa, wakati wa upasuaji tunapaswa kusafisha chumba na mazingira yake lengo ni kuhakikisha kuwa tunazuia wadudu wasisambae au kuingia kwenye mwili wa binadamu.
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...