Sharti za SwalaSharti za swala ni yale mambo ya lazima anayotakiwa Muislamu ayachunge na kuyatekeleza kabla hajaanza kuswali. Mambo haya ni:1.Twahara.2.Sitara.3.Kuchunga wakati.4.Kuelekea Qibla.