Posti hii inahusu zaidi namna au njia za kuepuka na Ugonjwa huu wa ngiri ambao uleta madhara kwa watoto, vijana na watu wazima, kwa hiyo ili tuweze janga hili ni lazima tufanye yafuatayo.
1. Kwaza kabisa tunapaswa kutumia vyakula vyenye nyuzi nyuzi kama vile machungwa, maembe na aina mbalimbali za matunda kwa kufanya hivyo tunaweza kuufanya mwili ujengeke na hatimaye kuepuka na janga hili la ugonjwa wa ngiri.
2.Pia tunapaswa kula vyakula vyenye wingi wa protini.
Kwa kawaida tunajua kazi ya protini ni kuufanya mwili ukue vizuri na kurudisha sehemu iliyokuwa imeharibika kuwa vizuri, kwa kutumia vyakula vya hivyo kama maziwa, mahindi, karanga na mambo kama hayo usaidia mwili kuwa imara na kupunguza tatizo la ngiri.
3. Epuka kazi ngumu.
Ili kuepuka Ugonjwa huu wa ngiri tunapaswa kuepuka kazi ngumu ambayo Usababisha viungo vya mwili kutenguka na pia kuepuka mazoezi magumu sana nayo usababisha viungo vya mwili kuachia hali ambayo Usababisha kuwepo kwa uwazi na utumbo au nyama kukua kuelekea kwenye sehemu ya uwazi
4. Kutumia virutubisho vya mwili.
Tunajua kubwa chakula bora ni dawa kwa kutumia chakula bora na chenye aina zote za virutubisho usaidia kuwepo kwa kinga ya kutosha mwilini na hatimaye mwili kujijenga wenyewe na kupungua kwa Ugonjwa huu wa ngiri.
5. Tunapaswa kujenga Tabia ya kufanya uchunguzi.
Kwa kufanya uchunguzi tunaweza kupunguza matatizo kuwa makubwa zaidi,kwa kufanya hivyo hata tatizo liligunduliwa ni rahisi kutibiwa.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Post hii inakwenda kukujulisha dalili za kuwa huwenda una fangasi sehemu zako za siri.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Magonjwa vya kurithi ambayo mara nyingi utokea kwenye jamii ni magonjwa ambayo yanaweza kutokea kwenye familia na wanafamilia walio wengi wakaweza kupata ugonjwa huo Magonjwa yenyewe ni kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu chanzo cha ugonjwa wa malaria
Soma Zaidi...Posti inazungumzia Ugonjwa kwenye fupa nyonga ambapo kitaalamu hujulikana Kama {Pelvic inflammatory (PID) ni maambukizi ya viungo vya uzazi vya mwanamke.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kujibu swali linalosema je ni bakteria aina gani husababisha igonjwa wa pumu.
Soma Zaidi...Kipindupindu ni ugonjwa wa bakteria ambao kawaida huenezwa kupitia maji machafu. Kipindupindu husababisha Kuhara na Upungufu wa maji mwilini.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi njia za kumgundua mgonjwa wa kaswende, njia hizi utumika baada ya kuongea na mgonjwa kuhusu maisha yake hasa kujamiiana na watu mbalimbali.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kuharisha, kuharisha ni kitendo Cha kupitia kinyesi chenye maji inawezekana kina damu au kisichokuwa na damu.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa usafi katika maisha ya mwanadamu au mwili wa binadamu.
Soma Zaidi...Kila mtu anaweza kupata ugonjwa wa pumu, hata hivyo kuna ambao wapo hatarini zaidi kupata pumu.
Soma Zaidi...