Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea pale ambapo Ugonjwa wa ngiri unaposhindwa kutibiwa mapema.
Madhara ya kutotibu ugonjwa wa ngiri.
1. Kwanza kabisa tusipotibu ugonjwa wa ngiri tunaweza kusababisha kuwepo kwa Maambukizi kwa sababu kuna maji maji yanayotoka kwenye sehemu yenye tatizo na kuingia kwenye sehemu isiyokuwa na tatizo hali ambayo Usababisha Maambukizi kwenye sehemu mbalimbali za mwili.
2. Kuwepo kwa uvimbe unaobadilika badilika rangi.
Kwa sababu ya kutotibu ugonjwa huu wa ngiri na uvimbe utokea ambao ubadilika rangi kwa hiyo uvimbe huo na husipotibiwa unaweza kusababisha kuwepo kwa magonjwa ya kansa na kusababisha hali ya mgonjwa kuwa mbaya zaidi, kwa hiyo ni vizuri kabisa kuweza kutibu Ugonjwa huu mara moja pale inapotokea ili kuepuka kuwepo kwa magonjwa makubwa
3. Kuwepo kwa maumivu makali na ya kila mara.
Kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi kwenye sehemu mbalimbali za mwili hali hii usababisha kuwepo kwa maumivu makali kwenye kitovu, kwenye via vya uzazi na pia kwenye kifua, na kwenye kifua usababisha upumuaji kuwa wa shida zaidi, kwa hiyo mara nyingi utasikia wanaume wana lalamika kuhusu maumivu makali ambayo wana yasikia.na pia watoto wanakaa wanalia kwa sababu ya Maumivu makali kwenye kitovu.
4. Kuwepo hali ya kichefuchefu na kutapika.
Kwa kawaida tunajua wazi kuwa, ngiri usababishwa na utumbo kuhamia sehemu mbalimbali za mwili kama vile kwenye kifua, via vya uzazi, kitovu na sehemu mbalimbali kwa kufanya hivyo ufanya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula nao pia kubadilika hali ambayo Usababisha kichefu chefu na kutapika, mtoto akitapika sana usababisha kupungua kwa maji mwilini.
5. Kuwepo kwa homa kali.
Kwa sababu ya kuwepo kwa mabadiliko ya mwili pamoja na maumivu homa nayo inawezekana kutokea ikiwa kali, kama ni kwa mtoto usababisha degedege kwa watoto wadogo na kuishiwa na maji mwilini.
6. Mgonjwa kuhisi kwenda chooni ila akifika huko utoa gesi tu, kwa hiyo na mmeng'enyo wa chakula nao uwa na matatizo hali ambayo upelekea mgonjwa kutoa gesi badala ya kinyesi.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inaonyesha namna ya kujizuia,Mambo ya Hatari,na na Mambo yanayopelekea Ugonjwa wa ukosefu wa mkojo
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha dalili za ugonjwa wa Vidonda vya kitanda (bed sores)mara nyingi hukua kwenye ngozi ambayo hufunika sehemu za mifupa ya mwili, kama vile visigino, vifundoni, viuno. Vidonda vya kitanda vinaweza kukua haraka na mara nyingi ni vigumu
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za maumivu ya jino
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha ishara na dalili za Saratani ya utumbo mdogo
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maana ya undetectable viral load
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi tatizo la kushindwa kushuka kwa makende kutoka kwenye tumbo kwenda kwenye skolatumu(scrotum).
Soma Zaidi...Saratani ya kwenye Njia ya haja kubwa ni aina isiyo ya kawaida ambayo kitaalamu hujulikana Kama saratani ya mkundu.Mfereji wa mkundu ni mirija fupi iliyo mwisho wa puru yako ambayo kinyesi hutoka mwilini mwako. Saratani ya kwenye Njia ya ha
Soma Zaidi...Poliomyelitis ni kuvimba kwa suala la kijivu la uti wa mgongo na wakati mwingine sehemu ya chini ya ubongo
Soma Zaidi...Ugonjwa sugu wa figo, pia huitwa kushindwa kwa figo sugu, huelezea upotevu wa taratibu wa utendakazi wa figo. Figo zako huchuja taka na Majimaji kupita kiasi kutoka kwa damu yako, ambayo hutolewa kwenye mkojo wako. Ugonjwa sugu wa figo unapofikia hatua
Soma Zaidi...Jibu ni hapana, matehayawezi kuambukiza HIV. Lakini swali unalotakiwa kulijibu je ni kwa nini mate hayaambukizi. Makala hii itakwend akukupa majibu haya
Soma Zaidi...