1.
1.Imani ni
2.Pamoja na kudai kwao kuwa ni waumini Allah (s.w) anawakatalia.
βNa katika watu wako wasemao, βTumemuamini Mwenyezi Mungu na siku ya mwisho na hali ya kuwa wao si wenye kuamini ...β (2:8)
Allah (s.w) anawakatalia kwa sababu
3.Orodhesha sifa za waumini wa kweli kama zilivyoainishwa katika Qur-an (8:2-4) na (49:15).
4.Orodhesha sifa za waumini kama zilivyo ainishwa katika aya zifu atazo:
(a)Suratul-Muuminuun (23:1-11)
(b)Suratul-Furqaan (25:63-76)
5.Imani ya Kiislamu imejengwa juu ya nguzo sita. Zitaje zote. Kwa mpangilio.
Umeionaje Makala hii.. ?
Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.
Soma Zaidi...Huwa wepesi wa kutoa msaada kwa hali na mali kwa wanaadamu wenziwe wanaohitajia msaada.
Soma Zaidi...Hutekeleza ahadi zao wanapoahidiana na wanaadamu wenziwao maadamu ni katika mipaka ya Allah (s.
Soma Zaidi...Na kuwapambanua wale waliokuwa wanafiki.
Soma Zaidi...