عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه و سلم "إنَّ اللَّهَ طَيِّبٌ لَا يَقْبَلُ إلَّا طَي...
عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه و سلم "إنَّ اللَّهَ طَيِّبٌ لَا يَقْبَلُ إلَّا طَيِّبًا، وَإِنَّ اللَّهَ أَمَرَ الْمُؤْمِنِينَ بِمَا أَمَرَ بِهِ الْمُرْسَلِينَ فَقَالَ تَعَالَى: "يَا أَيُّهَا الرُّسُلُ كُلُوا مِنْ الطَّيِّبَاتِ وَاعْمَلُوا صَالِحًا"، وَقَالَ تَعَالَى: "يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا كُلُوا مِنْ طَيِّبَاتِ مَا رَزَقْنَاكُمْ" ثُمَّ ذَكَرَ الرَّجُلَ يُطِيلُ السَّفَرَ أَشْعَثَ أَغْبَرَ يَمُدُّ يَدَيْهِ إلَى السَّمَاءِ: يَا رَبِّ! يَا رَبِّ! وَمَطْعَمُهُ حَرَامٌ، وَمَشْرَبُهُ حَرَامٌ، وَمَلْبَسُهُ حَرَامٌ، وَغُذِّيَ بِالْحَرَامِ، فَأَنَّى يُسْتَجَابُ لَهُ؟".
[رَوَاهُ مُسْلِمٌ]
Kwa mapokezi ya Abu Hurayrah (ra):
Mjumbe wa Mwenyezi Mungu ((s.a.w)) Amesema, "Mwenyezi Mungu Mtukufu ni Mzuri na anakubali mambo mazuri (mema). Na hakika Mwenyezi Mungu amewaamrisha waumini kufanya yale ambayo Amewaamuru Mitume.
Kwani Mwenyezi Amesema: "Enyi Mitume! Kuleni kila vyakula vizurit [kila aina ya vyakula halal (kisheria)], na fanya matendo mema. "[23:51] na Mwenyezi Amesema:" Enyi mlio amini! Kuleni vitu vilivyo vizuri (halali) ambavyo tumekupeni.
Kisha akataja habari ya Mtu mmoja ambaye alikuwa yupo safarini, safari ndefu akiwa manywele yapo timtim amechafuka mavumbi akavyoosha mikono yake angani kuomba dua akisema "Ewe Bwana! Ee Mola! ”Wakati chakula chake ni haram (kisicho halali), kinywaji chake ni haram, mavazi yake ni haram, na amelelewa na chakula kilicho haram, kwa hivyo [dua yake] inawezaje kujibiwa? [Muslim]
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Mnafiki ni yule anayeukubali Uislamu mdomoni (kwa kauli tu) lakini moyoni mwake na katika matendo yake anaukanusha.
Soma Zaidi...Ni ipi haki ya mwanamke kwenye mirathi endapo atafiwa na mume wake, ilihali yeye ni mke wa pili?
Soma Zaidi...Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.
Soma Zaidi...Huwa wepesi wa kutoa msaada kwa hali na mali kwa wanaadamu wenziwe wanaohitajia msaada.
Soma Zaidi...