Je dalili za kisonono au gonoria kwa mwanamke huonekana baada ya mda gani

Je dalili za kisonono au gonoria kwa mwanamke huonekana baada ya mda gani

Je dalili za kisonono au gonoria kwa mwanamke huonekana baada ya mda gani

Dokta samahani nina swali langu eti



Namba ya swali 013

Uliza tuu, bila samahani



Namba ya swali 013

Je dalili za kisonono au gonoria kwa mwanamke huonekana baada ya mda gani



Namba ya swali 013

Inachukuwa siku moja mpaka 10. Kwa kawaida hasa kwa wanaume ni siku 5 mpaka 10. Hata hivyo inaweza fika mpaka siku 30. Wanawake wanachelewa kupata dalili hizi, karibia asilimia 80 ya wanawake hawapati dalili hizi kwa haraka



Namba ya swali 013

Hii haimaanishi kuwa mwanamke hawezi pata dalili mapema, inategemea na afya yake pia ila kundinkubwa la wanawake wanachelewa kupata dalili, na wanazipata ndani ya siku 30. Hata hivyo anaweza pia asipate dalili ila athari ya gonorea ikaendelea kuathiri ndani na hatimaye kupata madhara zaidi



Namba ya swali 013

Ahsante dokta



Namba ya swali 013

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Views: 3254

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉2 Bongolite - Game zone - Play free game     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉5 web hosting     👉6 Kitabu cha Afya    

Post zinazofanana:

Zijue sababu za moyo kutanuka.

Posti hii inahusu zaidi sababu za moyo kutanuka, Kuna kipindi ambapo moyo utoka kwenye hali yake ya kawaida na kutanuka hali ambayo usababisha madhara kwa mwenye tatizo hilo, ila Kuna sababu ambazo usababisha moyo kutanuka kama tutakavyoona.

Soma Zaidi...
Ugonjwa wa kuharisha na sababu zake.

Kuharisha ni Hali ya kupitisha kinyesi Cha maji chenye damu au kisicho na damu

Soma Zaidi...
Vipele vyenye maji (Chickenpox): Je, ni vya kuambukiza?

Vipele vyenye maji, kitaalamu Varicella, ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na virusi vya Varicella-Zoster. Ugonjwa huu hujulikana kwa vipele vyake vyenye maji ambavyo huwasha sana. Ni ugonjwa unaoambukiza kwa kasi kubwa, hasa kwa wale ambao hawajawahi kupata ugonjwa huu au hawajachanjwa. Makala hii inafafanua jinsi virusi hivi vinavyosambaa na hatua za kuchukua ili kujikinga

Soma Zaidi...
Matatizo ya unene kwa watoto (childhood obesity)

post Ina onyesha madhara na matatizo ya Unene Utoto ni hali mbaya ya kiafya inayoathiri watoto na vijana. Inatokea wakati mtoto yuko juu ya uzito wa kawaida kwa umri na urefu wake

Soma Zaidi...
Yajue magonjwa ya kurithi.

Posti hii inahusu zaidi Magonjwa vya kurithi ambayo mara nyingi utokea kwenye jamii ni magonjwa ambayo yanaweza kutokea kwenye familia na wanafamilia walio wengi wakaweza kupata ugonjwa huo Magonjwa yenyewe ni kama ifuatavyo.

Soma Zaidi...
Madhara ya fangasi.

Posti hii inahusu zaidi madhara ya fangasi za ukeni kwa kawaida tunajua kubwa fangasi zikiingia kwenye uke usababisha madhara mbalimbali ambayo mengine yanaweza ya kudumu na mengine ya mda kama yametibiwa mapema.

Soma Zaidi...