Posti hii inazungumzia sababu zinazopelekea kuumwa na kifua.
Dalili za kifua Ni pamoja na
1.kukohoa ambapo kikohozi kinaweza kuwa kikavu au kinatoka na makohozi.
2.kushindwa kupumua vizuri
3.kushindwa kumeza hii hutokana na Uvimbe ikitokea kwenye Koo.
4.kifua kuuma
5.kifua kubana
Sababu zinazopelekea kupata kifua Ni pamoja na;
1.Mzio kuumwa kifua huweza kutokana na mzio wa kitu.
2.Baadhi ya vyakula Kama vile ice cream,au vyokula vyenye vumbi,au vya baridi sana
3.Kemikali, Kama vile manukato,maradhi,dawa za kuua wadudu pia husababisha kifua.
4.Kanyoya ; Kama vile manyoya ya paka, Mbwa, ndege,Ng'ombe, kondoo n.k Mara nyingi huwatokea wale ambao wanaishi na hao wanyama .
5.baridi Sana au joto likizidi Sana pia husababisha kifua
6.usaha kwenye mapafu;usaha huu hutokana na bacteria
7.uvimbe kwenye Koo la hewa ambayo husababishwa na bacteria
8.kufanya mazoezi ya kukimbia,kucheza mpira n.k kupita kiasi hupelekea kushindwa kupumua pia moja kwa moja ukishindwa kupumua kifua huweza kubana .
Mwisho ; kifua kikikaa kwa muda mrefu mpaka kuwa sugu huwa Ni vigumu kupona lakini Ni vyema Kam ukisikia dalili za kifua kuwahi hospitalinia kwaajili ya matibabu.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Saratani ya ini ni Saratani inayoanzia kwenye seli za ini lako.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu Maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo, ni madhara ambayo yanaweza kutokea iwapo maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo hayatatibiwa kwa wakati.
Soma Zaidi...Posti hii utokea huduma ya kwanza kwa mtu aliye na shida ya kushindwa kupitisha mkojo kutoka kwenye kibofu Cha mkojo,
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo chini upande wa kushoto
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za presha ya kushuka
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi namna ya kuzuia ugonjwa wa madonda ya koo,ni njia ambazo usaidia katika kujikinga na ugonjwa wa madonda ya koo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia ambazo UKIMWI hutokea
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi hatua au mbinu za kupambana na ugonjwa wa UTI kwa sababu ugonjwa huu umekuwa tishio kubwa kwa sasa kwa hiyo tunapaswa kutumia njia mbalimbali ili kuweza kupambana na Ugonjwa huu.
Soma Zaidi...