
Faida za kiafya za kula viazi vitamu
- vina virutubisho kama protini, fati, wanga, vitamini C, B5 pia madini ya potasium, shaba na magnesium.
- Husaidia kuboresha ufanyaji kazi wa ubongo
- Huboresha hedhi
- Husaidia katika kupambana na saratani
- Husaidia kushusha sukari kwenye damu
- Huboresha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
- Husaidia mwili kupambana na maambukizi ya mara kwa mara
- Husaidia katika kupunguza uzito