
Faida za kiafya za kula panzi, senene, kumbikumbi na mfano wake
- Tunapata protini kwa kiasi kikubwa
- huboresha mfumo wa kinga
- huongeza afya ya meno na mifupa
- hulinda mwili dhidi ya kupata anaemia
- ni tiba nzuri ya maradhi ya puru
- husaidia katika kuboresha na kulinda seli dhidi ya uharibifu
- Ni chakula kizuri kwa afya ya ubongo
- ni chakula kizuri kwa maendeleo ya ukuaji wa mtoto aliyeko tumboni
- huborehsa agya ya ubongo.