
Faida za kula pilipili
- kuondosha kemikali mbaya mwilini
- Hupunguza uwepo wa uvimbe mwilini
- Huboresha afya ya ubongo
- Hudhibiti kiwango cha sukarai mwilini
- Hupunguza choleserol mbaya mwilini
- Husaidia katika kupambana na saratani
- Husaidia mwili katika kufyonza virutubisho kwenye chakula
- Hupunguza maumivu
- Hupunguza hamu ya kula